Wenye kwao wanajenga kwao, wakimaliza kwetu wataenda kwao!

Wenye kwao wanajenga kwao, wakimaliza kwetu wataenda kwao!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao, aliyepata mbali na kwao, akamwambia wa kwao nitahakikisha naibaidili kwetu iwe oslo au new Zealand au Paris, wewe kaa hapo Mimi nitaleta Kila kitu. Hawa tutawazuga kwa peremende tu, nasasa Kila kitu kwao, nasikia mambo makubwa sasa yanafanyika kwao na kabla ajira zao hazijaisha kwao itakuwa sawa sawa na jiji la oslo, wapo kwetu ili wajenge kwao wakimaliza kwetu wataenda kwao 😂
 
Kwamba mama anajenga kwao?

Umesahau kwamba mcheza kwao hutunzwa!
 
Duuuuuuuuu..........au bachiiiiiiiiiiiiii (jamaa wa mabati ya kinglion voice)
 
Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao,aliyepata mbali na kwao ,akamwambia wa kwao nitahakikisha naibaidili kwetu iwe oslo au new Zealand au Paris,wewe kaa hapo Mimi nitaleta Kila kitu ,Hawa tutawazuga kwa peremende tu,nasasa Kila kitu kwao ,nasikia mambo makubwa sasa yanafanyika kwao na kabla ajira zao hazijaisha kwao itakuwa sawa sawa na jiji la oslo,wapo kwetu ili wajenge kwao wakimaliza kwetu wataenda kwao [emoji23]
Tangu mwaka 1961 Tanganyika imeshindwa kujijenga mnategemea wengine waje kuwajengea hi nchi mmekalia Udini ukabila na ufisadi tu, kila kitu mnacho nguvu mamlaka pesa mkashindwa kujijenga sasa kelele za nini?
 
Mnajengewa kwenu!! Kaa kwa KUTULIA
 
Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao, aliyepata mbali na kwao, akamwambia wa kwao nitahakikisha naibaidili kwetu iwe oslo au new Zealand au Paris, wewe kaa hapo Mimi nitaleta Kila kitu. Hawa tutawazuga kwa peremende tu, nasasa Kila kitu kwao, nasikia mambo makubwa sasa yanafanyika kwao na kabla ajira zao hazijaisha kwao itakuwa sawa sawa na jiji la oslo, wapo kwetu ili wajenge kwao wakimaliza kwetu wataenda kwao 😂
Nonsense!
 
Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao, aliyepata mbali na kwao, akamwambia wa kwao nitahakikisha naibaidili kwetu iwe oslo au new Zealand au Paris, wewe kaa hapo Mimi nitaleta Kila kitu. Hawa tutawazuga kwa peremende tu, nasasa Kila kitu kwao, nasikia mambo makubwa sasa yanafanyika kwao na kabla ajira zao hazijaisha kwao itakuwa sawa sawa na jiji la oslo, wapo kwetu ili wajenge kwao wakimaliza kwetu wataenda kwao [emoji23]
Ujasiri wa kujali kwao na kupapa kipaumbele na upendeleo usio kuwa na mfano alijifunza kutoka kwa bosi wake aliyepita.
 
Nisha leta Uzi humu kuonesha jinsi Wazanzibar walivyo Wazalendo Kuliko Watanganyika.

Nchi hii imejaa wapumbavu hasa wa bara uko visiwani ni wajanja mno.
 
Back
Top Bottom