Tangu mwaka 1961 Tanganyika imeshindwa kujijenga mnategemea wengine waje kuwajengea hi nchi mmekalia Udini ukabila na ufisadi tu, kila kitu mnacho nguvu mamlaka pesa mkashindwa kujijenga sasa kelele za nini?Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao,aliyepata mbali na kwao ,akamwambia wa kwao nitahakikisha naibaidili kwetu iwe oslo au new Zealand au Paris,wewe kaa hapo Mimi nitaleta Kila kitu ,Hawa tutawazuga kwa peremende tu,nasasa Kila kitu kwao ,nasikia mambo makubwa sasa yanafanyika kwao na kabla ajira zao hazijaisha kwao itakuwa sawa sawa na jiji la oslo,wapo kwetu ili wajenge kwao wakimaliza kwetu wataenda kwao [emoji23]
Mnajengewa kwenu!! Kaa kwa KUTULIATangu mwaka 1961 Tanganyika imeshindwa kujijenga mnategemea wengine waje kuwajengea hi nchi mmekalia Udini ukabila na ufisadi tu, kila kitu mnacho nguvu mamlaka pesa mkashindwa kujijenga sasa kelele za nini?
Nonsense!Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao, aliyepata mbali na kwao, akamwambia wa kwao nitahakikisha naibaidili kwetu iwe oslo au new Zealand au Paris, wewe kaa hapo Mimi nitaleta Kila kitu. Hawa tutawazuga kwa peremende tu, nasasa Kila kitu kwao, nasikia mambo makubwa sasa yanafanyika kwao na kabla ajira zao hazijaisha kwao itakuwa sawa sawa na jiji la oslo, wapo kwetu ili wajenge kwao wakimaliza kwetu wataenda kwao 😂
Ujasiri wa kujali kwao na kupapa kipaumbele na upendeleo usio kuwa na mfano alijifunza kutoka kwa bosi wake aliyepita.Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao, aliyepata mbali na kwao, akamwambia wa kwao nitahakikisha naibaidili kwetu iwe oslo au new Zealand au Paris, wewe kaa hapo Mimi nitaleta Kila kitu. Hawa tutawazuga kwa peremende tu, nasasa Kila kitu kwao, nasikia mambo makubwa sasa yanafanyika kwao na kabla ajira zao hazijaisha kwao itakuwa sawa sawa na jiji la oslo, wapo kwetu ili wajenge kwao wakimaliza kwetu wataenda kwao [emoji23]