[emoji7] [emoji7] [emoji7][emoji23] [emoji23] hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji7] [emoji7] [emoji7][emoji23] [emoji23] hatari sana
Cjawai tega tena had nlipokuja kuacha mwenyew ukubwaniPole mkuu.. lakini vipi baada ya hapo ulibadilika? ulianza kuhudhuria madrasa?
Huu ukatili ukipitiliza kiwango mm hadi leo nina kovu kichwani alinipiga na kitu kizito nilizirai na kupoteza damu tena hapo kwa msaada wa dada yangu aliweka mkono wake kichwani kwangu kunikinga lakini haikufua dafu, huwa najiuliza alidhamiria nn ile in zaidi adhabu kiukweli, mby zaidi alikuwa anamzingua maza sana, ila nilipofika tu 18 years tu nilimpa tabu sana na yeye ukatili wote aliweka mfukoniBinafsi huwa sielewi kwanini awa wazee wetu walikuwa wakitufanyia ukatilii kwa kisingizio cha kukosa kwani walishindwaje kutumia kauli nzuri tu za kufundisha watoto yan ata kwa kutumia hekima za kidini.Nimelelewa na mzee wangu katika maisha ayo na kunifanyia matendo ya kikatilii imenipelekea kuwa mtu mwenye hasira sana nilipata ahueni ya mateso pale tu nilipofaulu form 6 kwenda chuo.
Wamekulia maisha ya ukoloni na survival for fittest so ile colonial legacy ilikuwa kubwa sana plus jkt walikopitia,hata tuliosoma shule za zamani za bweni hali hiyo ilikuwepo kwa madent hadi walimu..ilikuwa hatari sanaBinafsi huwa sielewi kwanini awa wazee wetu walikuwa wakitufanyia ukatilii kwa kisingizio cha kukosa kwani walishindwaje kutumia kauli nzuri tu za kufundisha watoto yan ata kwa kutumia hekima za kidini.Nimelelewa na mzee wangu katika maisha ayo na kunifanyia matendo ya kikatilii imenipelekea kuwa mtu mwenye hasira sana nilipata ahueni ya mateso pale tu nilipofaulu form 6 kwenda chuo.
Hahahaaa..... madingi wa siku hizi hamna kitu kabisaSasa nyie vidingi vya miaka ya Leo eti mnapiga selfie na vitoto vyenu ndo maana vinaishia kuwa vishoga na vimalaya uchwara,mm lazima nimuenz mdingi alikuwa hatar sana ntasimulia simu nyingine
Awa wazee wetu yani wao kupiga mtoto ni sifa kubwa kwao tena utakuta wanakaa kwenye vijiwe vyao wanaadithiana kwamba wanajua kupiga .Haya mambo yakupigwa pigwa ovyo bila sababu yalinijenga kuwa na tabia ya uwoga,hasira na roho ya chuki (nashukuru Mungu nilijtambua nkazpinga izo roho) kwn mzee alkua anapenda kuogopeka kuliko kuheshimika.Mbali na kupgwa wazee wanakuaga na kauli mbaya sana juu yetu tukiwa wadogo utakuta mzee anakuambia yan ww ata ukisoma vp hutokuja fanikiwa maishani na stokuja kula ata shiling yako halafu baadae anakuja kukulia eti uyu ndio mwanangu mpendwa msomi.Huu ukatili ukipitiliza kiwango mm hadi leo nina kovu kichwani alinipiga na kitu kizito nilizirai na kupoteza damu tena hapo kwa msaada wa dada yangu aliweka mkono wake kichwani kwangu kunikinga lakini haikufua dafu, huwa najiuliza alidhamiria nn ile in zaidi adhabu kiukweli, mby zaidi alikuwa anamzingua maza sana, ila nilipofika tu 18 years tu nilimpa tabu sana na yeye ukatili wote aliweka mfukoni
izo tabia za ushoga na umalaya ni hurka na pengine wazazi walishindwa kuwaandaa watoto kimalezi vizuri.unajua hakuna kitu kizuri km baba kuwa rafiki kwa watoto wako utaweza jua tabia zao kiundani toka wakiwa wadogo na hii itawakuza mpk wakiwa watu wazima watakua na upendo ule wa dhati kwakoSasa nyie vidingi vya miaka ya Leo eti mnapiga selfie na vitoto vyenu ndo maana vinaishia kuwa vishoga na vimalaya uchwara,mm lazima nimuenz mdingi alikuwa hatar sana ntasimulia simu nyingine
yea kweli ilo nimeliona mwenyeweWamekulia maisha ya ukoloni na survival for fittest so ile colonial legacy ilikuwa kubwa sana plus jkt walikopitia,hata tuliosoma shule za zamani za bweni hali hiyo ilikuwepo kwa madent hadi walimu..ilikuwa hatari sana
Hizi ni hadithi za miaka hii,mbona die wengine wazazi wetu walikuwa ni wakali sana lakini Tania zetu walizifahamu na kizidhibiti bila kuwa na mazoea ya kijinga jingaizo tabia za ushoga na umalaya ni hurka na pengine wazazi walishindwa kuwaandaa watoto kimalezi vizuri.unajua hakuna kitu kizuri km baba kuwa rafiki kwa watoto wako utaweza jua tabia zao kiundani toka wakiwa wadogo na hii itawakuza mpk wakiwa watu wazima watakua na upendo ule wa dhati kwako
Hahahaa dahMwaka 99, enzi hizo simu ya mezani, alikuja mgeni akaomba simu apige hapo simu inakaa chumbani, nikamwambia dingi mgeni anaomba simu, dingi akaguna tu nikajua kakubali nikatoa simu mgeni kaongea alivoondoka mweh!!!!
Nlichezea kichapo heavy yani mvua ya stiki..... Apumzike kwa amani mdingi
Wazee wazamani walikua hawana tofauti na wakoloni aseetrue yaan wanavyopelekwesha hadi unajiuliza hivi ndo yule Dingi yangu bandidu ninayemjua mimi au
mana wanakuwa wa pole kupita viwango mbaya zaidi anafanyiwa vitu ambavyo wewe mwenyewe mwenye mtoto kimfanyia usingeweza wanawadekeza zaidi ya maraika
yaan utasikia tu acha nitakuchapa
kama kuna kiti chake cha uzee hakai mtu lkn huyo mjukuu wake anapanda na michanga tena wakati mwingne wanabanana hapo kukaa kiti kimoja
station ya tv anachagua yeye
wkt enzi nzake thubutuuuu uweke station unayotaka wewe wakati yeye yupo kwanza utaanzaje
Madingi wakali noma, akiwepo huwezi kukaa sebuleni eti husomi unaangalia tvUkali wa wadingi ndio umetufanya hivi tulivyo leo. BigUp wadingi wakali wooote Tz (Ila wale Old school tu, si sisi wa Smartphone maana ustawi wa jamii wapo macho daily[emoji3])
Mkuu kuna ule ukali wa kawaida tu ambao ata kwny dini unaelezewa ,huu unaoelezewa apa na wadau kwa kiasi kikubwa ni ukatili huwezi mpiga mtoto mpaka anazimia afu unasema ni fundisho.Hizi ni hadithi za miaka hii,mbona die wengine wazazi wetu walikuwa ni wakali sana lakini Tania zetu walizifahamu na kizidhibiti bila kuwa na mazoea ya kijinga jinga
Hutakiwi kufurahia muziki hatabkama ni mzuri hahahaaMpaka sasahivi mshua wa FRESHMAN anaongoza kwa ukali kusini mwa jangwa la sahara . Ukitikisa kichwa kwenye gari anakushusha?