Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Amenifinya sana masikiomama je?
Na kunichapa pia
Ila ni zamani mno nikiwa mdogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amenifinya sana masikiomama je?
hahaa, na vocha ikiisha inabidi ujiunge umpigie au ndio imetoka?Hongera yako! Sisi anazeeka ndo anazidi kuwa moto hatari! Yaani apite binti karibu yake kavaa vya ajabu au asimpe salamu! Atajutia kupita pale,huwa nammisi tu nikiwa mbali lakini usijiroge ukapiga cm kumsalimia badla ya salama yataanza mausia hayo na huko mwishoni ni kufokewa mpaka vocha inaisha!
Kwa wazazi lazima mmoja awe ndio mbabe, mtata, mkali na mwengine ndio awe kimbilioAmenifinya sana masikio
Na kunichapa pia
Ila ni zamani mno nikiwa mdogo.
Huwa nammiss sana mzee wangu.Kwa wazazi lazima mmoja awe ndio mbabe, mtata, mkali na mwengine ndio awe kimbilio
Kwako inaelekea baba ndio alikuwa kimbilio , mama akaona yeye ndio avae jukumu la kuwa mtata
Umenikumbusha kada wa ccm na tajiri who lived CSR to the fullest Cosmas Kadege, Mbeya moja hio R. I. P Mwamba wa kweli mwenye utu na upendoDingi ya jamaang, marehem mzee kadege alikua OCS au OCD kpnd hicho, kulala sero, kutandkwa na msauz/fimbo itumiwayo kuadhb waarfu polic ilikua kawaida kwa jamaang na kakazake. Sku moja mwaka 2001 katka kucheza cheza tukiwa na kbert cha ges, ambach jamaang uyo alimwbia mzee wake uyo uyo, tuliwasha moto fensi ya almashaur ilyokua imeungana na fensi ya hosptal ya wilaya, fens ilkua imepgwa seng'enge uku ikwa imepandwa mit na maua mbalmbal, meng yalkua yamekauka kwan ilikua n kiangaz. Nasema iv bila watu kuingilia kat na kumchomoa jamaang mikonon mwa yule mzeee naamn jamaang angekua marehem leo, kipgo alchopata ilbd tu alazwe. Pia nashukuru Mungu jithada za raia wema walfanikwa kuuzima moto ule japo ulileta madhara kias, miaka iyo zimamoto ilkua mkoan tu uku wilayan hazkuepo kabsa
Mzee mbuzi ina maana gani😂😂😂mshua alikuwa Mjeda pia tulimbatiza jina la mzee Mbuzi hatari sana
Hujafika mkuu?Wewe baba yako cha mtoto mimi nilikuwa napewa adhabu sidhani kama kuna mwanajeshi anaweza kuvumilia, Niko safarini nikifika mnikumbushe niwaambie.
Kwamba mashoga wote baba zao walikuwa wapole au walikuwa hawapigwi?Utafanyaje labda?
Mambo ya Ustawi sio?
Nyinyi ndio chanzo Cha ushoga na ujinga
Mzazi akifikia hatua ya kupiga jua huko pote alishapita yaani kashauri ila imeshindikana..Kwamba mashoga wote baba zao walikuwa wapole au walikuwa hawapigwi?
Acha kuhalalisha ujinga. Kwanza wanaume wengi wenye tabia hiyo imetokana na ukatili wa wazazi wao maana mzazi ukiwa karibu na mwanao utajua tu ameanza tabia za kijinga.
Kumpiga mtoto is the laziest way of parenting. Wazazi wa zamani walikuwa wavivu kwenye kulea watoto ndo maana walikuwa wanakimbilia kwenye kupiga since it's easy.
Anyway we piga tu mwanao
Mi ningehama kabisa nyumbani. Kipigo gani hicho!hao wazee wote mnaiwataja hapa hamna kitu asee nakumbuka mwaka 84 ilikua jumamosi mzee akatuagiza majani ya kuku tulikua na kuku wengi sana yeye akaenda kazini ..tulivyoenda tulikaa mpaka saa nane au tisa hivi ndo tukarudi na mizigo yetu ya majani ya kuku watu wa arusha wanayafahamu majani ya sungura..bwana kumbe mzee alikua amesharudi na ameenda kutafuta chakula cha kuku mwenyewe....
Kwakuanzia tuliambiwa kila mtu ale mzigo wake coz tuna njaa na kuku wameshakula hamna pa kuyapeleka...kwa jinsi alivyokua tukaanza kupiga mdogo mdogo tulikua watatu...kaka yangu akaleta ukorofi mzee alimtia kwenye gunia la kuhifadhia kahawa akalifunga kwa juu asee alimtia fimbo zisizo na idadi ..akamtoa kwenye gunia akamtia fimbo kavu kavu mpaka vijiti vikamwingia kama miba then akamfingia kwenye mti wa mlimao kwa minyororo kwa siku 3 day and 9t tulikua tunampelekea msosi kwa siri usiku na alivyotoka hapo ni kumuuguza na kumtoa vijiti mwilini......
pia nakumbua dada yetu mkubwa aliwahi kumpiga mdogo wake mama akamsemea mzee alimpiga then akampeleka kwe ng'ombe zizini akamwambia akae huko siku saba kwasababu anatabia za ng'ombe...kuna matukio mengi sana mfano akikupangia kazi usipifanya mfano ya shamba akirudi hata kama ni saa nne usiku utaenda kulima ...alikua anaogopwa mpaka na mabosi wake