Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
- Thread starter
-
- #21
🙂🙂🙂 ndio ujanja wa wengine huu, hapo unakuta hata haja reset mashine wewe unaona yes kumbe unapigwa kimya kimyaKuna wahudumu wengine wako poa sana, anakutaarifu kabisa 'naanza kuweka'
Sio kihivyo🙂🙂🙂 ndio ujanja wa wengine huu, hapo unakuta hata haja reset mashine wewe unaona yes kumbe unapigwa kimya kimya
Na huu ndio ukweliSiku hizi wizi wa kijinga haupo maana pump ikisharudi tu risiti yatoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake kwa msamiati mwepesi ni ki reset, endapo una mashaka kazia "Dada naona u reset "
Kwanini walikataza?Hivyo vidumu vyeupe vilikatazwa mkuu, wanafanyaga kishkaji tu ila unaweza kukataliwa vizuri kabisa
Puma na Total wako loyal sana,nahisi hata malipo yao si habaKuna wahudumu wengine wako poa sana, anakutaarifu kabisa 'naanza kuweka'
Vilikatazwa na nani? Ukiwa na generator nyumbani unanunuaje mafuta?Hivyo vidumu vyeupe vilikatazwa mkuu, wanafanyaga kishkaji tu ila unaweza kukataliwa vizuri kabisa
Labda unabeba generator kichwani unaenda nalo sheliVilikatazwa na nani? Ukiwa na generator nyumbani unanunuaje mafuta?
Kumbe tunapigwa sana,dawa ni kwenda na dumu tu,tena jeupe tuone kama atakupiga na humo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una muda gani tangu uanze kwenda sheli😳😳?? Tangu 2009 MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA), ilipiga marufuku, ukienda kwa gia za kupaki gari karibu na sheli na kushuka na kigaloni chako wana kila sababu ya kukukataliaVilikatazwa na nani? Ukiwa na generator nyumbani unanunuaje mafuta?
Umenielewa ila unaleta ujuaji tu...Hivi kwanini unaitwa Sheli? Maana Sheli ni kampuni kama Total au Meru.
Ni sawa na useme Total ndio Meru bora[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu ila afadhali hao unakuta mmoja mmoja ndio wanaiba ila hizi nyingine ni wote ahahaAnayeiba sio sheli ni mtu.. Hapo hapo Total nahisi nimepigwa mafuta tena ni jana tu
Kabisa mKuu, Puma na total wako vizuri... Ukiweka mafuta mshale unaona kabisa unapanda 😂 tofaut na sheli nyingine
Jana tu nimetoka "sheli" lakini hujajibu swali langu la pili.Mkuu una muda gani tangu uanze kwenda sheli😳😳?? Tangu 2009 MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA), ilipiga marufuku, ukienda kwa gia za kupaki gari karibu na sheli na kushuka na kigaloni chako wana kila sababu ya kukukatalia
Sababu ni rahisi tu ndugu yangu. Hii ni kampuni ya kuuza mafuta iliyotamalaki sana katika nchi hii hapo siku za nyuma. Kumbuka kabla ya ubinafsishaji, kampuni binafsi za mafuta zilikuwa chache sana. Hivyo kutokana na ukubwa wake na kusambaa nchini, vituo vyake vikajipatia brand name ya shell. Tangia hapo ikaonekana kuwa kumbe kituo chochote cha kuuzia mafuta ni shell. Kibiashara tunasema kama ni kupromote kampuni tu, basi lengo lilifikiwa na kuzidi.Hivi kwanini unaitwa Sheli? Maana Sheli ni kampuni kama Total au Meru.
Ni sawa na useme Total ndio Meru bora[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na jenereta nyumbani utaenda na madumu wanayotaka ambayo hadi Leo sijui yapoje,Jana tu nimetoka "sheli" lakini hujajibu swali langu la pili.
Umepigwa mkuu hii mbinu inaitwaga "unga unga" amekujazia ya 9,000 maksudi hayo uliyoongezewa ya elf saba umejaziwa hewa kwasababu haku reset machine, UMEPIGWA!!!Sidhani kama wa Dar wanafanya wizi wa kiboya hivyo. Ila juzi kituo kimoja hapo Dar kwenu Kuna Binti alitaka kunipiga kijinga sana, nilimwambia mafuta elfu 15, na nikampatia pesa kabisa, akaweka elfu Tisa! Nikamuuliza mbona unaweka 9,000?? Akasema hakusikia vizuri akajifanya kuangalia mkononi nimempa bei gani, akakuta 15,000! Basi akaweka tena mafuta ya 7,000 ili kufidia, nikamwambia umenizidishia buku akakataa tena, tukapiga hesabu nikamuongezea buku yake nikaondoka zangu
Sent using Jamii Forums mobile app