Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Braza popoma nipo nyuma yako,kimsingi upo sahih wenye magar wanajisahau mnoNa nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.
Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia?
Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa si huwa mnatucheka kwakuwa hatuna Gari kama nyie kwakuwa tuna Umasikini?
Kuna Mmoja nimemsikia hivi punde Kipindi cha Nipashe cha Radio One akisema kuwa kwakuwa Bei ya Petroli imepanda Tanzania Bara anajipanga kuhamia Visiwani Zanzibar anakodai kuwa amesikia huko Gharama ya Mafuta ni ya chini.
Na mwingine naye nimemsikia akilalamika kuwa kaamka Asubuhi akiwa kabeba Tsh 10,000/ yake ya kuweka Mafuta ya kwenda na kurudi Kazini Kwake Mjini kakuta Bei zimepanda katika Petrol Station na akilalamika kwani hakujua mapema.
Hovyo kweli huyu Jamaa kwani ni nani alimwambia asipende Kusikiliza Vyombo vya Habari (hasa Redio na kutizama Runinga) ili awe anahabarika kuliko kuja kutupigia Kelele na Kulia lia kuwa alikuwa hajui Bei za Mafuta kupanda nchini jana?
Safi sana EWURA kwa Kunikomeshea Mabrazameni na Gari zao za Mikopo kwa Kupandisha Bei za Mafuta ya Petrol na Diesel.
Yaani huku una Gari yako ya Mkopo na bado hujamaliza Deni na EWURA nao Wamekandamiza hapo hapo kwa Kupandisha Bei ya Mafuta.
Kwanza Gari ya nini kwa sasa wakati njia nyingi kwa sasa kuna Usafiri mzuri tu wa Mwendokasi na pia hata Dala Dala nazo ni nyingi na zinapita maeneo mengi tu kwa Nauli yako ya Tsh 500/ hadi Tsh 750/ na Maisha yanaendelea.
Kwa sasa huna Tsh 20,000/ ya Wese (Mafuta) kwa Gari yako ipaki tu Kwako upande Dala Dala kama GENTAMYCINE ukilazimisha ili upate Sifa Mtaani / Barabarani na 'Vimshahara' vyenu Uchwara vya Shilingi Laki Saba na Nusu (750,000/) utaumbuka kwa Gari yako Kuzima njiani Trafiki wakunyooshe au uilaze na Njaa Familia yako.
Kudadadeki tutaelewana tu sasa Ok?
We jamaa tokea ugundulike umekuwa Chawa mwijaku anasubiri[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1433][emoji1433][emoji1433]Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.
Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia?
Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa si huwa mnatucheka kwakuwa hatuna Gari kama nyie kwakuwa tuna Umasikini?
Kuna Mmoja nimemsikia hivi punde Kipindi cha Nipashe cha Radio One akisema kuwa kwakuwa Bei ya Petroli imepanda Tanzania Bara anajipanga kuhamia Visiwani Zanzibar anakodai kuwa amesikia huko Gharama ya Mafuta ni ya chini.
Na mwingine naye nimemsikia akilalamika kuwa kaamka Asubuhi akiwa kabeba Tsh 10,000/ yake ya kuweka Mafuta ya kwenda na kurudi Kazini Kwake Mjini kakuta Bei zimepanda katika Petrol Station na akilalamika kwani hakujua mapema.
Hovyo kweli huyu Jamaa kwani ni nani alimwambia asipende Kusikiliza Vyombo vya Habari (hasa Redio na kutizama Runinga) ili awe anahabarika kuliko kuja kutupigia Kelele na Kulia lia kuwa alikuwa hajui Bei za Mafuta kupanda nchini jana?
Safi sana EWURA kwa Kunikomeshea Mabrazameni na Gari zao za Mikopo kwa Kupandisha Bei za Mafuta ya Petrol na Diesel.
Yaani huku una Gari yako ya Mkopo na bado hujamaliza Deni na EWURA nao Wamekandamiza hapo hapo kwa Kupandisha Bei ya Mafuta.
Kwanza Gari ya nini kwa sasa wakati njia nyingi kwa sasa kuna Usafiri mzuri tu wa Mwendokasi na pia hata Dala Dala nazo ni nyingi na zinapita maeneo mengi tu kwa Nauli yako ya Tsh 500/ hadi Tsh 750/ na Maisha yanaendelea.
Kwa sasa huna Tsh 20,000/ ya Wese (Mafuta) kwa Gari yako ipaki tu Kwako upande Dala Dala kama GENTAMYCINE ukilazimisha ili upate Sifa Mtaani / Barabarani na 'Vimshahara' vyenu Uchwara vya Shilingi Laki Saba na Nusu (750,000/) utaumbuka kwa Gari yako Kuzima njiani Trafiki wakunyooshe au uilaze na Njaa Familia yako.
Kudadadeki tutaelewana tu sasa Ok?
Na ndiyo Nimewachokoza na Kuwapandisha Hasira zao Makusudi. Najiandaa tu Kusoma Comments zao za Hasira huku Mimi nikicheka.Ngoja vijana wenye jazba waje.
Degree uchwaraAna degree huyo.
Nakuunga mkono. Mleta mada ni Sufiani wa Singida hajui asemalo msameheni.Mtoa mada apuuzwe hajui impact za kupanda kwa wese
Nyuma yako nipo Mimi na vumbi la Congo.Braza popoma nipo nyuma yako,kimsingi upo sahih wenye magar wanajisahau mno
Kupanda bei mafuta kuna side effects nyingi, na wewe zinakugusa directly na indirectly.Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.
Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia?
Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa si huwa mnatucheka kwakuwa hatuna Gari kama nyie kwakuwa tuna Umasikini?
Kuna Mmoja nimemsikia hivi punde Kipindi cha Nipashe cha Radio One akisema kuwa kwakuwa Bei ya Petroli imepanda Tanzania Bara anajipanga kuhamia Visiwani Zanzibar anakodai kuwa amesikia huko Gharama ya Mafuta ni ya chini.
Na mwingine naye nimemsikia akilalamika kuwa kaamka Asubuhi akiwa kabeba Tsh 10,000/ yake ya kuweka Mafuta ya kwenda na kurudi Kazini Kwake Mjini kakuta Bei zimepanda katika Petrol Station na akilalamika kwani hakujua mapema.
Hovyo kweli huyu Jamaa kwani ni nani alimwambia asipende Kusikiliza Vyombo vya Habari (hasa Redio na kutizama Runinga) ili awe anahabarika kuliko kuja kutupigia Kelele na Kulia lia kuwa alikuwa hajui Bei za Mafuta kupanda nchini jana?
Safi sana EWURA kwa Kunikomeshea Mabrazameni na Gari zao za Mikopo kwa Kupandisha Bei za Mafuta ya Petrol na Diesel.
Yaani huku una Gari yako ya Mkopo na bado hujamaliza Deni na EWURA nao Wamekandamiza hapo hapo kwa Kupandisha Bei ya Mafuta.
Kwanza Gari ya nini kwa sasa wakati njia nyingi kwa sasa kuna Usafiri mzuri tu wa Mwendokasi na pia hata Dala Dala nazo ni nyingi na zinapita maeneo mengi tu kwa Nauli yako ya Tsh 500/ hadi Tsh 750/ na Maisha yanaendelea.
Kwa sasa huna Tsh 20,000/ ya Wese (Mafuta) kwa Gari yako ipaki tu Kwako upande Dala Dala kama GENTAMYCINE ukilazimisha ili upate Sifa Mtaani / Barabarani na 'Vimshahara' vyenu Uchwara vya Shilingi Laki Saba na Nusu (750,000/) utaumbuka kwa Gari yako Kuzima njiani Trafiki wakunyooshe au uilaze na Njaa Familia yako.
Kudadadeki tutaelewana tu sasa Ok?
Ukianza kuuziwa Dona kilo 5000 ndio utajua madhara mafuta kupandaNa nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.