Wenye 'Mahausigeli' muwe mnafanya 'impromptu visits' Makwenu, kwani yanayoendelea kwa Watoto wenu mkiwa hampo ni makubwa

Wenye 'Mahausigeli' muwe mnafanya 'impromptu visits' Makwenu, kwani yanayoendelea kwa Watoto wenu mkiwa hampo ni makubwa

Kuna Nzi kaja katua puani kwangu afu nna stress nimejipiga bonge la kibao na sijampata.
 
Yaani nimeumizwa na kodi ya miamala na wewe unataka uniue kwa kicheko?
Najua kuwa Suala la Kodi limetuumiza wengi hivyo kama 'Game Changer' nikaona niwatoe huko kidogo na mburudike huku kwa 'Ukomedi' kidogo nikiamini ukicheka ( mkicheka ) Hasira zenu zitapungua. Kuna muda nikiona JF imepigwa 'Ganzi' nalazimika kuja na Kitu cha 'Kuburudisha' na cha 'Mjadala' pia ili tu Maisha yaende Rafiki yangu.
 
Nyeto moja tu ingeliepusha Taifa na hasara hii, najua kondomu asingeweza kununua.
Tangia uanze 'Kufumuliwa' kunako "Unyabeni' Kwako umekuwa si tu Mpumbavu hivyo bali Taahira kabisa.
 
Back
Top Bottom