[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekuelewa shoo wangu[emoji1]Hahaha nimetoa mfano awe ndo shunie sasa anafanya hivyo
Umepata mke haya anzisha uzi sasawaooooh mambo yameanza kuwa mambo [emoji91] [emoji91]
namba moja weweSi ututaje tu looh[emoji23] [emoji23]
Haha nimeikumbuka ile sentensi ya "Nifanyaje mat'ko yasitingishike nitembeapo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahhaha vinachekesha sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama mito hamna mtafute geisha tu hakuna namna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] au mbuniKama mito hamna mtafute geisha tu hakuna namna
Hizo codes nikizifungua anavyotukana yule dada hakai mtu hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Codes
acha tupigwe na baridiUpweke ukizidi kama hauna mbebez kumbatia mito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]balaaaaGilEsI
NamjuaHizo codes nikizifungua anavyotukana yule dada hakai mtu hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
tulia wewe acha vitisho,, najipinda hapa ohooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii couple yetuuu ni ya kimataifaaaa sana
Haina tofaut na ya The bold na Nifah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio unacheka kwa sauti ya gilesiHaha nimeikumbuka ile sentensi ya "Nifanyaje mat'ko yasitingishike nitembeapo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimejikuta nacheka kwa sauti jolie mimi
Pole sana mkuuwacha tu utuzidi , mana hadi vile naniliu vimekaza upande huu
Atakuambia awe anapiga chabo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Cha Mdako wa Jr[emoji23]
Ewaaaaaa au godoro nasikia wanatoboaga mpaka godoro ambalo halina foronya[emoji23] [emoji23] [emoji23] au mbuni
Mheshimu shemejio bebeWalaaa..nampa moyo tu straiker wangu hapo