Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitak unafiki mmHizo codes nikizifungua anavyotukana yule dada hakai mtu hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitak unafiki mmHizo codes nikizifungua anavyotukana yule dada hakai mtu hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
cheka uongeze siku, kununa haisaidiiWewe chekaa miaka inasonga na watu wanazeeka
Gilesi popote ulipo nakusalimu[emoji23][emoji23]Haha nimeikumbuka ile sentensi ya "Nifanyaje mat'ko yasitingishike nitembeapo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimejikuta nacheka kwa sauti jolie mimi
Hivi kaenda wapi sijamuonaMuiteee shemeji yangu Cephaaaa
hapana geishaKama mito hamna mtafute geisha tu hakuna namna
Hilo ni jibu mama pigia mstariAfu anaingiziamo umo?
Mh nyie vitotoNa mi na hazard wangu
Bebe tusimfikirie hata kama anawzifaa??[emoji23] [emoji23]Mheshimu shemejio bebe
[emoji23] [emoji16] [emoji16] [emoji16] kumbeeee nawe umo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namkumbuka babu asprin tu jamani na matusi yakeGilesi popote ulipo nakusalimu[emoji23][emoji23]
Hahahaha wonderful lucky men au sio[emoji23] [emoji23] '[emoji106] [emoji106] [emoji106] ataeninyapulia smart wangu hakii namtoa uti wa mgongo [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sanaa tena rahaa alafu ukiangalia mwanaume mwenyeweee
Amebarikiwa kila kituuuu
Wacha tu nimpendee Mr Jr
Wanaume wanaopenda kama yeye na shemeji yangu Smart ni wachache kwenye 100 wanapatikana wawili.
Nakosaje kwa mfano?niko kwa ile list ujue
acha papara cha mdako,, mambo ni mottoooo,Umepata mke haya anzisha uzi sasa
poa mkuuPole sana mkuu
Yani mm naringa sana kummiliki mzee baba Jrtulia wewe acha vitisho,, najipinda hapa ohooooo[emoji23]
Poleni mnoooacha tupigwe na baridi
asante sanaUsijali utapata na ww mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humu tuko wa 45+
[emoji23][emoji23]babu yenu naye hajambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namkumbuka babu asprin tu jamani na matusi yake