Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Sanaa tena rahaa alafu ukiangalia mwanaume mwenyeweee

Amebarikiwa kila kituuuu

Wacha tu nimpendee Mr Jr

Wanaume wanaopenda kama yeye na shemeji yangu Smart ni wachache kwenye 100 wanapatikana wawili.
Hahahaha wonderful lucky men au sio[emoji23] [emoji23] '[emoji106] [emoji106] [emoji106] ataeninyapulia smart wangu hakii namtoa uti wa mgongo [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bwasheee si ana huo uwezo?? Kuitoa kabisa spinal cord [emoji23] [emoji23]


Cc Smart911
 
tulia wewe acha vitisho,, najipinda hapa ohooooo[emoji23]
Yani mm naringa sana kummiliki mzee baba Jr

Natambaaaa oooh natambaaa[emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445]

Ukipenda pendaaa kweliiii[emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445]

Mimi ndo mke halali wa Jr [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji445]

Mapenzi matamu niwapo nawe Jr[emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji445]

Sioni mwingine wa kufanana na yeye
Nitalienzi penzi lakee sitamwacha asirani[emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji444]

Nakupendaaaaaaaaaaaaaaaaa Jr [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji445]

Oooooh yeaaaaaaah mahaba ya dhati unayonipatiaaaaaaa[emoji445] [emoji444] [emoji444]
Jr
 
Back
Top Bottom