Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Mbona kuna wengine wanaplay game tu...mtu ana id mbili,moja ya me na nyingine ya ke,anajitongoza mwenyew anajikubalia mwenyew na ile id ya ke.....maisha yanasonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahahahahah aiseee
 
Hahahaha wonderful lucky men au sio[emoji23] [emoji23] '[emoji106] [emoji106] [emoji106] ataeninyapulia smart wangu hakii namtoa uti wa mgongo [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bwasheee si ana huo uwezo?? Kuitoa kabisa spinal cord [emoji23] [emoji23]


Cc Smart911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kadri ninavyoendelea kujifunza ulozi kama kuna dawa ya kutoa spinal codeee visokolokwinyooo nitakuletea mrejeshoo?
 
Back
Top Bottom