Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Mbona kuna wengine wanaplay game tu...mtu ana id mbili,moja ya me na nyingine ya ke,anajitongoza mwenyew anajikubalia mwenyew na ile id ya ke.....maisha yanasonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bwashee sio mtaaalam sana kama mng,oa kucha
 
Unafanya mchezo na mshanaJr mzee wa vibuyu, lazima unase tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…