Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Shemeji shikamoo. Mbona kaka hapatikani?
 
Mbona kuna wengine wanaplay game tu...mtu ana id mbili,moja ya me na nyingine ya ke,anajitongoza mwenyew anajikubalia mwenyew na ile id ya ke.....maisha yanasonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hii kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…