Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
We jamaa ni una wivu tyutena we mutu unaturusha rohooo na huyo Demi,,, [emoji16] [emoji23] natamani kuwamwagia upupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa ni una wivu tyutena we mutu unaturusha rohooo na huyo Demi,,, [emoji16] [emoji23] natamani kuwamwagia upupu
Shemej usiniambieee nilikuwa sijui kwa kweli?Mbona kuna wengine wanaplay game tu...mtu ana id mbili,moja ya me na nyingine ya ke,anajitongoza mwenyew anajikubalia mwenyew na ile id ya ke.....maisha yanasonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mke wangu umekuja huku?? tunasemwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]We jamaa ni una wivu tyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi siwezi mzee baba, nangojea kona yako nipige free header
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseeeh!! Hii sasa kaliMbona kuna wengine wanaplay game tu...mtu ana id mbili,moja ya me na nyingine ya ke,anajitongoza mwenyew anajikubalia mwenyew na ile id ya ke.....maisha yanasonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha shemela wake,, najua mda so mrefu tutaunganisha undugu [emoji23] [emoji16] hazard atafanya yakeWe jamaa ni una wivu tyu
Uyu ana wivu wake tuuuuuMke wangu umekuja huku?? tunasemwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekumis mjukuu wa old grannyShemej usiniambieee nilikuwa sijui kwa kweli?View attachment 734303
Nilikuwa najenga viwanda vya mkuluuuNimekumis mjukuu wa old granny
Wew unafikiri itakua je tukigundua wew ni shunie,,au mimi ni jolie jolie au mshana ni demmis au smart ni mahondaw??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseeeh!! Hii sasa kali
Badala ya kuumia na wivu jitahidi upate wako.Kiukweli hapa nawakilisha KE/ME tulio hatuna viburudisho,, tunapata wivu pale mnapoanza kuoneshana mahaba ktk status zenu,, kiukweli tunabaki kujichekesha tu ktk status zenu,,, tupotupo tuu,,, yaaan
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kwani yeye domo zegee mpaka asaidiweee[emoji23] [emoji23] msaidie mwenzio shemela..apate wake
KilingeniNilikuwa najenga viwanda vya mkuluuu
Hahaa hata hivo mi ni hazard na we ni jolie and vice versaWew unafikiri itakua je tukigundua wew ni shunie,,au mimi ni jolie jolie au mshana ni demmis au smart ni mahondaw??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
pass murua nasubiria, hapa nipo naviziavizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa maelezo yake inaonyesha atakua na utimbulo kidogoKwani yeye domo zegee mpaka asaidiweee
Yani Jr ni mwanaume anayenipendaa sanaumeona sasa, Demiss ameshaanza kumpaisha huyo jr, yaaaaaan
dah,,