Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Nimekumis mjukuu wa old granny
Nimekumiss
Mpeleke bibi yako ujumbeee
image_search_1522753026223.jpg
 
m
Kiukweli hapa nawakilisha KE/ME tulio hatuna viburudisho,, tunapata wivu pale mnapoanza kuoneshana mahaba ktk status zenu,, kiukweli tunabaki kujichekesha tu ktk status zenu,,, tupotupo tuu,,, yaaan

[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
mkuu mwenye kisu kikali ndio hula nyama...noa kisu hicho, KE mbona wapo wengi humu.
 
Back
Top Bottom