Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Hahahahaha hivi alisema sangapi au ashaweka new episode?? Sijapitiamo akii huu uzi umenikumbusha mbali those days mpaka leo na Smart911 wangu
Hajaweka wala hakusema mda,ila mida yake si unaijua kuanzia sa4.
Sema katangaza kabisa ukikuta kweupe unapita kimya,jiandae kwa arosto
 
Sanaa tena rahaa alafu ukiangalia mwanaume mwenyeweee

Amebarikiwa kila kituuuu

Wacha tu nimpendee Mr Jr

Wanaume wanaopenda kama yeye na shemeji yangu Smart ni wachache kwenye 100 wanapatikana wawili.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…