Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Mshana jr na Demiss waacheni wanamalizia ujana wao...!

treni inavuta meli nchi kavu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa bhn kwahiyo sisi wazeee akhiii wewe una utan wa ngumii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani huyu kush jaman ameamua kufunguka ya rohon siyo wale wanaokuja na new ID

Ukiambiwa id yake ya sku zotee akkhiii unazimiaaa
[emoji23] [emoji91] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom