Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Hahahaha utukinao haukwepeki lakini...kwa hyo zile siled za utelezi zinakuhusu sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu mzuri mwenzangu Kuna ule wa from nowhere mtu anakuvamia na mitusi tu unabaki kumshangaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] huyu katokea wapi kwani!! Au ndomana mambo ya matipo idiz!!



Cc Smart911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani huyu kush jaman ameamua kufunguka ya rohon siyo wale wanaokuja na new ID

Ukiambiwa id yake ya sku zotee akkhiii unazimiaaa
 
Back
Top Bottom