1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #61
ngoja mkuu nisake chambichambiTafuta mkuu. Au fungua I.d nyingine .. Uwe ke hafu uturushe roho mi nshawah Fanya hivyo mkuu !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wew unafikiri itakua je tukigundua wew ni shunie,,au mimi ni jolie jolie au mshana ni demmis au smart ni mahondaw??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Taja tuu jamaniwengi mno yaaaan
mzee unaua babaKwa maelezo yake inaonyesha atakua na utimbulo kidogo
Nakuona hapa unavyohangaik kumfta mdada wa Jfpass murua nasubiria, hapa nipo naviziavizia[emoji23]
SawaWakitajwa usisahau kuniita dada
WoyoooooooooooooYani Jr ni mwanaume anayenipendaa sana
Nikiwa jf lazima nimbebishaa ili visokolokwinyooo wapite mbali
Mke halali wa Mshana wengine copy
Damu mmoja[emoji173] [emoji173]Hahaa hata hivo mi ni hazard na we ni jolie and vice versa
cha mdako sio [emoji23]Yani Jr ni mwanaume anayenipendaa sana
Nikiwa jf lazima nimbebishaa ili visokolokwinyooo wapite mbali
Mke halali wa Mshana wengine copy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aje kilingen nimpe dawaaaaKwa maelezo yake inaonyesha atakua na utimbulo kidogo
Yale yale ya kubadilika jinsia kutokana na mazingiraNimejikuta nacheka tu iliweje sasa jamani kuchezea watu kujifanya una babe kumbe ni ids zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta mkuu. Au fungua I.d nyingine .. Uwe ke hafu uturushe roho mi nshawah Fanya hivyo mkuu !!!
Vipi wewe una kiburudisho?Pole
MillerNampenda honeyto wanguu[emoji1][emoji1]
weer tuliaNimemzuia haha nakuonea huruma miaka 30 si tutakusahau baba?
Gilesiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimejikuta nacheka tu iliweje sasa jamani kuchezea watu kujifanya una babe kumbe ni ids zako
Hhhahah watu wanayaweza wanawake wote hawa unajibishana na i'd yako nyingine acha nikufwe na hamu zangu tu kwa style hiyoYale yale ya kubadilika jinsia kutokana na mazingira
lohhhh, kazi tunayo wavimba machoNampenda honeyto wanguu[emoji1][emoji1]