Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Kwa kweli mahusiano ya jf ni raha sana yaani unaweza kupiga busu hewa,kupewa namba hewa,kupewa picha ya jirani,unaweza ukawa unabebishwa ktk Uzi,huku mtu anagegedwa kwa mtogole!!
 
Inaonekana unajali sana,unajua kumlea mume na naamin shemej anafaidi mahabati matamu.[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5].
Ulweso upo juuuuu.
Hahahaa sijui, lakini niseme asante ila umenichekesha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom