Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Mbona kuna wengine wanaplay game tu...mtu ana id mbili,moja ya me na nyingine ya ke,anajitongoza mwenyew anajikubalia mwenyew na ile id ya ke.....maisha yanasonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] kwa hiyo mkuu wataka nambia wewe na JJ ni kamchezo tu mnakacheza [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji15] kwa hiyo mkuu wataka nambia wewe na JJ ni kamchezo tu mnakacheza [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahaha mkuu hapo ni akili tu kumkichwa kwako..ila mimi na jj ni kitu kimoja[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom