Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Mmhhh!!!Hahahahah mtihani nduguuuu
mme wako yuko wapi ??Nimekujaaa hahah ngoja nimfate mme wangu
Sawa bana.Ni kweli kabisa unakuta mmelala mzungu wa nne kila mtu na simu yake mnabebishana Jf kumbe hata hamuongei mtoa mada umefikiria mbali sanaaaa
Makitu gani M....?Hayo makitu yanipite tu pembeni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]haha uwe na mpenz kama sexless nakuhakishia lazma uende kwa kakobe ukaombewe kwa nuksi utakazopata
[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]Kwani mahusiano ya JF ni ya kweli au maigizo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]Wajumbe leo posho imepanda,m mbona mewahi mno kabla ya muda
my babeSawa bana.
Ngoja nijiandae kupata haki yangu hivi punde
kwetu hakuna neno kuachanà milele zaidi ya neno nitakupenda daimaKauli mbiu yetu inasema.
''Sitakuacha labda wewe uniache"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuna tafuta wa kutuma maji wakati wa pensheni tuko busy don’t disturb plz
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]my babe
Ule usumbufu ni historia hata shetani akizeeka anakuwa malaikaBora tu abanwe huko kwanza maana ni msumbufu sana kwa wajukuu zake
My honey[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]kwetu hakuna neno kuachanà milele zaidi ya neno nitakupenda daima