Wenye mahusiano yanayojulikana ndani ya JF wanapitiaga wakati mgumu sana

Wenye mahusiano yanayojulikana ndani ya JF wanapitiaga wakati mgumu sana

Nitabaki kuwa Kasie Matata.

Mtata hatari hasa kwenye mahaba.

Ukiniletea motoo mie naumwagia majivu ili wote tupate joto.

Ukinipa mahaba utakula raha za Tanga.

Pamoja na matata yote... kuna Simba mmoja tuu ndo amefanikiwa kunipelekea moto, uzuri wake huwa namwambia ukweli wangu wote, ananijua fika na mie hata sihitaji kumjua akiwa mbali na upeo wangu anafanya nini na anafanya na nani....

Mahaba yake tuu vurugu vuruguu. .. uchokozi uchokoziii fujo fujoo basi.mie kwatuuu

Ukipita kusoma hapa Nyali, upokee busu lako matata Muah! !
 
Back
Top Bottom