Wenye mahusiano yanayojulikana ndani ya JF wanapitiaga wakati mgumu sana

Wenye mahusiano yanayojulikana ndani ya JF wanapitiaga wakati mgumu sana

Sasa hiyo unaweza kuwa na makoloni kumi kabisaaa aahahh
Ukiona mtu anajitangaza kuwa ana fedha mfano Dr Shika jua ana visenti tu vinapiga kelele mfukoni. Mwenye noti huwa zipo kimya. Ukiona hapa JF mtu anasema mpenzi wangu ni fulani member wa JF jua kuwa ni inferiority complex hiyo na hata k zinatolewa kwa mbinde! Ulaji wa k huwa kwa kificho na huwa wa hatari. K nzuri inaliwa gizani, jiulize kama unaweza kumuona mtu gizani.
 
Back
Top Bottom