Wenye majina ya rose!

Wenye majina ya rose!

mhh mi naogopa kushabikia topic wasije wakataja na jina la waifu wangu bure..:tape::tape::tape::tape::tape:
 
Hivi.......?

Hii Roya Vs Baba G
The Finest Vs Bigirita

Imesababishwa na hizi hizi taxi, lami, dabo rodi au ze nidful?

Mbona mimi na Homeboys Kaizer na Kimey tunashea valeur bila ugomvi wowote?
ok ok!....
 
Babu huyo kwenye red ufadhili wake ni wa kikabaila na kibepari anataka kuhodhii pia hadi wanachama
 
Naanza kuona dalili za mtu kupewa dizel akaambiwa ni valuu!

Big hivi yule Eliza wa pale marangu mwenye macho ya kichina na sauti kama ya mtoto wa miaka miwili babu akimuona si atakuwa anaenda huko bila hata sisi kujua
 
Babu huyo kwenye red ufadhili wake ni wa kikabaila na kibepari anataka kuhodhii pia hadi wanachama

Sasa unahisi unaweza pambana naye bila kupata msaada toka kw watu wa baa mpya? ohooooooooo!
 
Big hivi yule Eliza wa pale marangu mwenye macho ya kichina na sauti kama ya mtoto wa miaka miwili babu akimuona si atakuwa anaenda huko bila hata sisi kujua
ee bwana eeh!
naomba unikumbushe kuna namba ya mhudumu nilichukua pale nilisevu kwa jina gani?????????
 
Wewe sasa unatafuta ugomvi na katibu mkuu wetu!
ahh deodat kumbe na wew umo?
aya bwana...nilizan we utakuwa wa mwsho kunichokonoa kumbe.........aya bwna!!!!
achana na teamo uyo nimkorof tu...babu na wewe acha uchokoz..mi ndo rose kamili.....bau tukutuku inase,maje?
 
Big hivi yule Eliza wa pale marangu mwenye macho ya kichina na sauti kama ya mtoto wa miaka miwili babu akimuona si atakuwa anaenda huko bila hata sisi kujua

Babu amezeeka hawezi kula vitu ngumu...!

Babu ni joka la Kibisa, wajukuu wanalichezea watakavyo. Ambia mama Big aje achezee babu, hana madhara.
 
Hivi.......?

Hii Roya Vs Baba G
The Finest Vs Bigirita

Imesababishwa na hizi hizi taxi, lami, dabo rodi au ze nidful?

Mbona mimi na Homeboys Kaizer na Kimey tunashea valeur bila ugomvi wowote?
sasa kuna watu kabla rule number 3 haija-apply, wao wanataka kujumlisha THE RED to get THE BOLD.
wanafikiri ni kirahisi rahisi tuu!!
 
ee bwana eeh!
naomba unikumbushe kuna namba ya mhudumu nilichukua pale nilisevu kwa jina gani?????????

Orait Orait......Nakumbuka kama vile BEATRICE, aisee ulipoondoka tu alikuja anakutafuta si akawa anaona aibu kutuuliza sisi akawa anazungukazunguka tu
 
ahh deodat kumbe na wew umo?
aya bwana...nilizan we utakuwa wa mwsho kunichokonoa kumbe.........aya bwna!!!!
achana na teamo uyo nimkorof tu...babu na wewe acha uchokoz..mi ndo rose kamili.....bau tukutuku inase,maje?

Babu amezeeka. Mechoka. Hawezi panda tuk tuk.

babu natembelea mkongojo. Unataka kuuona mkongojo wa babu?
 
ee bwana eeh!
naomba unikumbushe kuna namba ya mhudumu nilichukua pale nilisevu kwa jina gani?????????

ahh yule muhudumu kiboko ...bigrta et ..ebu rudia tena..umesemaje....ili mrad tu asikie kasaut kake
babuu akienda pale atamsahau mjukuuu bora asiende....
 
sasa kuna watu kabla rule number 3 haija-apply, wao wanataka kujumlisha THE RED to get THE BOLD.
wanafikiri ni kirahisi rahisi tuu!!

Hahahaha! Vijana hatari sana hawa kumbe. Hawachelewi kumchanganya na babu yao.

BTW Generation Y kafumaniwa gesti gani? Au mkoloni anampatia mimba ya mchana wa jua kali?
 
Back
Top Bottom