Wenye majina ya rose!

Hommie shida ya hao ni uroho tu yaani changu changu chako changu teh teh teh......
Hommie nimiminie hiyo valeur kidogo naona kwangu imeisha........Kugawana ni kujali banaa!!:yield:

Mpwa uko kwenye HOME au HOUSE ?
 
wakuu hivi haya niliyojifunza kwenye hii mada ni ya kweli?

mada imenifunza nisite watoto wangu rose, waridi, asumini, alizeti, maua, lily, jasmine, langilangi, yungiyungi.......

Muite mtoto wako majina yafuatayo SHANIQUA, SHONTELLE, SHANICE, :smile-big::smile-big:
 
Muite mtoto wako majina yafuatayo SHANIQUA, SHONTELLE, SHANICE, :smile-big::smile-big:

majina hayo too ghetto! no thanks ...............bora nichukue risk niite jasmine naweza kunusurika na balaa kuliko la hao kina shaniqua!
 
Nyie sio majina tu jina unaweza ukawa na lolote poa tu. Ila tabia za watu ndo sio nzuri na si akina dada peke yao ni binadamu wooote.
 
majina hayo too ghetto! no thanks ...............bora nichukue risk niite jasmine naweza kunusurika na balaa kuliko la hao kina shaniqua!

Wakina shaniqua na wenyewe bana huwa wana vituko tu kwa wale wenzetu wa kule
 
Hii supersonic speed thread balaa.....
 
Aiseee sina uhakika na huu utafiti wako, labda inawezekana ikawa kweli.
 
Rose wauaaaaaa...jinsi ulivoumbika suraaaaaaa
Rose wauaaaaaa...hata valuu sitaki tenaaaaaaa
Rose wauaaaaaa...digidigi nae akutaka sanaaaaaa
Rose wauaaaaaa...hata na tembo hatoki tenaaaa
 

...pheeewwww! kumbeee!
Anyway, kabla sijaanza kuhukumu labda nikuulize hiyo 80% kati ya Rose na Waridi wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…