Wenye majina ya rose!

:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
umbea tu nyoooooooooooo!!!!!!
sangap unaelekea airpot?mamkubwa asi anarud leo?
au bigirita ataenda kumchukua KIPENZ CHAKE????:doh::doh::yield::yield::yield:
:rip:FINEST!!!!!!1

Mwambie Roya ninatibu Kisukari, Bigirita tayari :rip: wamemuwekea magogo
 
jumamoci naenda na mkeo bilikanaaz....!
sasa tutajua nani wa kukojoa na kulala on the vere same day

Ile bilikanaz ya maboksi uliyotengeza pale uawani? U are indeed creative...
 
jumamoci naenda na mkeo bilikanaaz....!
sasa tutajua nani wa kukojoa na kulala on the vere same day
AYAAAAAAAAAAAAA mbona umeharibu tena?
atanifungulia get kweli?manake nilitaka nimuagae j1 naenda mbagala kwa wazaz ili nije kwako sasa ushasewma tena ayaaaaaaaa bas tena km vp futa basi araka asione!!!!!!!!
et mfalme wa dg dg........jamana ahaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
 
Muite mtoto wako majina yafuatayo SHANIQUA, SHONTELLE, SHANICE, :smile-big::smile-big:
heheheeeeeeeeeeee... hao ukienda states ndio wanaongoza kwa umbeya na poowwweeederrrr!!!

hayo majina mzee ni kama zena, sikitu na sikudhani
 
dah, na wanaoitwa digidigi je? tutabia twao tukoje?

mchek roy ana majibu yooooooooooote juu ya wadudu hao
bt chek alivyo finest na teamo ,baba gft ndo mifano mizur ya dig dig!!!!:yield::yield::yield:
 
aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....

we ni Rose? na Preta ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…