Mathematical
Senior Member
- Nov 8, 2010
- 120
- 43
Hivi nyie mnapata wapi muda wa kukumbuka majina? au memory card zenu zina capacity mingi sana.Kiukweli kabisa kwa Rose sijawahi kufanya utafiti. Ila nimefanya sana utafiti na kugundua kuwa sijawahi kumfahamu msichana yeyote anayeitwa Lilian akawa ametulia. wote mapepe...
Yaani nikiona neno "kusutwa" nacheka tu pale baba Gift alipomsema Roya...haaaa...wewe wewe...nimecheka mpaka bac Acid..mweh...umenikumbusha chuo kulikuwa na mdada anaitwa sauda na mwanamkac...jamani walikuwa hawaishi kusutwa, mpaka mtu unajiuliza wanapatia wapi muda za ziada wa kusutwa kila kukicha? hawana makoromeo kabisa wagombanishiiii.... hawa yaani mtogoe type.
hapa tatiso msee, ni rosi baanaaa!Habari senyu ndugu saaangu?
Napenda kuulisa hibiii? Hao wakolonyi senyu wana roho musuri kama sa kina Rose?
Mbona wanawaachinei mnachakachua sredi namuna hii?
hahahahaha!
nisutwe tena?
itakuwa the next level of infidelity.....!
mtu anaefanana na kusutwa sutwa ni roya tu
aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....
nope, wacha atokee tuone vagi.
hapa tatiso msee, ni rosi baanaaa!
Jaman naomben mnitajie jina gan halina matatizo?
Nikiitwa salome ndo ntakuwa sina tabia mbaya?
Nyinyi wenyewe kwa majina yenu mshajichunguza na mkajiakikisha hamna pbm??????
Hakunja jina la ukweli km rose.
Nyamayao unapenda sana shari bana....
Huyu Baba Zawadi hana ishu....kelele nyingi tu....ni msumbufu asiye na madhara...kwa hiyo hamna vagi...
nilikuwa nataka tushirikiane tumsute yeye...lol,
Yaani nikiona neno "kusutwa" nacheka tu pale baba Gift alipomsema Roya...
itabid leo teamo akae vzurYaani nikiona neno "kusutwa" nacheka tu pale baba Gift alipomsema Roya...
Dada mnoko hujambo? nimekumisi kama Rose............:smile-big::smile-big::smile-big::hippie::hippie::hippie:
Dada mnoko hujambo? nimekumisi kama Rose............:smile-big::smile-big::smile-big::hippie::hippie::hippie:
jaman nisaidien jinsi ya KUBADILI JINA
=NIPEN PROCESS ZAKE PLEEEEEEEEEEEEZ abeg abeeeeeeg ...dah kumbe rose si jina...so izi tabia zangu zi zangu bali ni za jina la rose?so nikibadilidha nkaitwa chaudala,njelele,kadala au matwamba izi tabia zitadisapear siyo?
bas nipen jins ya kubadili ili jina !!!!!
mhhh ngoja nikujibu tu cjambo, nikiendelea tutaendelea tutafika kuleeee kubaya, wacha niishie hapa.
yan acha tu nyamayaobaba G ni mgomvi halafu haan nguvu....haahaaa ngoja anitokeze huko mweh.
nipo mkuu
leo jion hongera baa kuna kikao cha kumsuta TEAMO ..iweje amwambie vile st..