Wenye mamlaka, Pigeni Ban VPN

Wenye mamlaka, Pigeni Ban VPN

Acha usemge wewe na acha kufuatilia maisha ya watu. This is a fuking free country. Unajikuta nani mpaka upangie matumizi ya simu ya mtu.

For your fuking information hakuna mpuuzi yoyote duniani anaweza kufungia matumizi ya vpn wala vpn yenyewe. Ni kama kumpitisha tembo kwenye tundu la sindano. Labda wazuie matumizi ya line physically turudi stone ages.
 
Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake.

Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini.

Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa safi ili watu wafanye kazi kwa bidii bila mawazo yao na ubongo wao kuchafuliwa na haya mapilau.

Mliosoma IT na computer science hakuna namna unawweza kuisaidia serikali kupiga ban haya madude ya kina Angel eyes na wenzake.

Msije mkaona mimi ni kilaza kwamba sijui umuhimu wa VPN kwenye baadhi ya biashara, la hasha kuna watu wanatumia VPN kwa ajili tu ya kushusha hayo madude na kuangalia live.

Anyway nawasilisha.
Unahoja ipokelewe
 
😄😃
 
Wewe ni kama wanaowashambulia wanawake wasiovaa hijab Iran
 
Back
Top Bottom