Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Unahoja ipokeleweYaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake.
Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini.
Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa safi ili watu wafanye kazi kwa bidii bila mawazo yao na ubongo wao kuchafuliwa na haya mapilau.
Mliosoma IT na computer science hakuna namna unawweza kuisaidia serikali kupiga ban haya madude ya kina Angel eyes na wenzake.
Msije mkaona mimi ni kilaza kwamba sijui umuhimu wa VPN kwenye baadhi ya biashara, la hasha kuna watu wanatumia VPN kwa ajili tu ya kushusha hayo madude na kuangalia live.
Anyway nawasilisha.
😄😃Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake.
Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini.
Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa safi ili watu wafanye kazi kwa bidii bila mawazo yao na ubongo wao kuchafuliwa na haya mapilau.
Mliosoma IT na computer science hakuna namna unawweza kuisaidia serikali kupiga ban haya madude ya kina Angel eyes na wenzake.
Msije mkaona mimi ni kilaza kwamba sijui umuhimu wa VPN kwenye baadhi ya biashara, la hasha kuna watu wanatumia VPN kwa ajili tu ya kushusha hayo madude na kuangalia live.
Anyway nawasilisha.
Wewe ni kama wanaowashambulia wanawake wasiovaa hijab IranYaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake.