Nimeshalifafanua hili ila najua Wapumbavu huwa hamkosekani duniani.
Endelea / Endeleeni tu Kuota na Kuhisi na hata kudhani kuwa Mightier Mimi ndiyo GENTAMYCINE.
Kichwa changu cha Habari sijasema niliye na Maono bali nimejumuisha wenye Maono na ungekuwa tu na Akili ambazo kwa bahati mbaya huna pamoja na Wapumbavu Wenzako wala usingesema kuwa Mimi ni GENTAMYCINE bali ungeelewa tu kuwa kwa Kauli hiyo nimewajumuisha wale Members wote ambao walishayasema hapa JamiiForums Mapungufu ya Mchezaji Bernard Morrison hata siyo Mimi Mightier niliyesema.
Inaonyesha huyo GENTAMYCINE amewakojoleeni wengi mno hapa kiasi kwamba mnampenda na mnafarijika sana Kumtajataja na Kumhisi kuwa ni Yeye katika kila ID hapa kwa Hoja yako ( yenu ) ya Kipumbavu kuwa ana Uandishi unaofanana.
Hivi tunapokuwa hapa JamiiForums tunatakiwa kila Mtu kutumia aina yake ya Uandishi na kama akiandika kama Member mwingine ndiyo justification kuwa ni Yeye huyo huyo na kwamba ana Mulitiple ID"s?
Washamba, Wapuuzi na Wanafiki wakubwa.
Cc:
mtu chake,
Frustration,
Ochumeraa,
ukikaidi utapigwa2,
KAGAMEE