Wenye maono ya Mungu tuliposema Mchezaji Bernard Morrison ni Mzigo na Hasara kwa Simba SC tulitukanwa na kudhihakiwa, ifike muda mkubali tuyasemayo

Umeingiziwa kitu gani hapo nyuma mbna umepanic
 
hahahaha.uko sahihi
 
Huu muandiko wa Genta kabisa
 
Morrison harudi Yanga ng'oo
 

Nanukuu "Wenye maono ya Mungu tuliposema...........".
Unaona hapo kwenye kichwa cha habari umejijumuisha na wewe mwenyewe.
 
Hii ni vitaaaa[emoji95]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…