Wenye maono ya Mungu tuliposema Mchezaji Bernard Morrison ni Mzigo na Hasara kwa Simba SC tulitukanwa na kudhihakiwa, ifike muda mkubali tuyasemayo

Naushukuru sana Uongozi wa Simba SC kwa Kuchukua Maamuzi haya magumu dhidi yake Bernard Morrison na nimedokezwa kuwa upo uwezekano pia Mkataba wake ukavunjwa na akaachwa rasmi kwani Uongozi wa Simba SC umeshamchoka japo umejitahidi mno Kumvumilia.

Hata hivyo Uongozi wa Simba SC haya Maamuzi mmechelewa sana Kuyachukua kwani tuliobarikiwa Maono na Wafukunyuku wa Masuala tulishawasaidia kuwaambia mengi hapa hapa JamiiForums ila kama kawaida yenu mkatudharau kama siyo Kutupuuza.

Na kwa Taarifa ziingine za ndani ambazo kama Kawaida yangu Nina uhakika nazo kwa 100% ni kwamba katika Dhambi hii ya Mchezaji Bernard Morrison hakuwa peke yake bali alikuwa na Swahiba wake Mkuu Kiutukutu Kiungo Jonas Mkude, ila mkaamua Kutudanganya wana Simba SC kuwa Mkude anaumwa wakati si kweli.

Na kwa Kumuogopa na baadhi ya Wajumbe wa Bodi Kumpenda huku Timu ikiwa inafanya vibaya mkaamua Kuufyata Kwake na Kumbembeleza ili arudi Kikosini na aisaidie Timu baada ya Kuonekana ana Umuhimu mkubwa kuliko hata Bernard Morrison mliyemchoka ambaye Mimi si tu nimeshamchoka bali simpendi pia kwani Kiufundi hakuwa na Msaada kwa Timu zaidi tu ya kuwa na Msaada wake wa Upumbavu, Utoto na Uwendawazimu wa Kupenda kucheza na Jukwaa.

Mwisho nilipomuona tu Mchezaji Bernard Morrison ameanzisha Mahusiano na DJ Maarufu X ( namhifadhi ) ambaye yupo sasa Wasafi Media kwa Diamond baada ya kutoka EFM kwa Majizo kabla hajahama CMG kwa Kusaga nilijua tayari aneshapotea kutokana na Mauzauza ya huyu DJ X ( namhifadhi ) ambaye anaishi Mbezi Beach kwa Maua alikopanga katika Nyumba ya Kifahari ya Rubani Tajiri wa ATCL ambaye Yeye na Binti ya Mwalimu wa Kiroho Mwakasege wamehusika sana Kuzileta Ndege zote mpya za Dreamliners na Bombardier kutoka huko Ughaibuni zilikonunuliwa kwa Cash na iliyokuwa Serikali ya Awanu ya Tano ya Hayati Rais Dkt. Magufuli.

Bata anazokula Mchezaji Bernard Morrison na huyu DJ X ( namhifadhi ) ambaye kwa bahati mbaya ni mwana Yanga SC lia lia nilijua kuwa hata wana Yanga SC ( Kamati ya Umafia ) wangemtumia ili Kummaliza kutokana na kuwa na Hasira nae kwa alichowafanyia na hata Kumdhoofisha na Kuidhoofisha Simba SC kwa ama kujua au kutokujua.

Kwa Wakazi wa Mbezi Beach kwa Maua si Wageni wa Fujo za Ulaji wa Bata wa huyu Mchezaji na huyu DJ X ( namhifadhi ) kwani mara nyingi huonekana Mitaani wakiwa katika Gari la DJ X ( namhifadhi ) aina ya IST ambalo huwa halifungwi Vioo huku Wote wakiwa wameshika Chupa za Bia na Mvinyo na Mchezaji Bernard Morrison akiwa ameweka Miguu yake katika Dashboard, akipiga Makelele kama Mwendawazimu ( japo tunajua kuwa anasumbuliwa na Bangi anazovuta Kupitiliza ) huku akicheza Muziki bila kusahau akimbusu mbusu Mpenziwe DJ X ( namhifadhi ) huyo mpenda Bata na Mla Kijiti Maarufu cha R - Chugga.

Na za ndani kabisa zinasema kuwa Simba SC ikiachana nae tu au Kuvunja Mkataba nae kwa 99.9999% Mchezaji Bernard Morrison anarejea Yanga SC ila Kwanza atalazimika Kuwaomba Radhi ( Msamaha ) wana Yanga SC wote na najua wana Yanga SC hawatakuwa na Hiyana nae na Watamsamehe tu.

Kwani hata aliyekuwa Mchezaji Kipenzi chao Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ( Mnyarwanda ) ambaye pamoja na kuhamia Simba SC na Kumtukana, Kumchukia na Kuchoma Moto Jezi yake huku Wakimlaani na hata Kumroga pia bado walimsamehe, walilamba Matapishi yao na Kumpokea hadi Kumuaga Kiheshima alipostaafu Kuichezea Yanga SC japo sasa anaendelea Kukipiga huko Kwao nchini Rwanda akiwa tayari ameshafuzu Mafunzo ya Ukocha.

Akifukuzwa Simba SC nitashukuru mno.
Genta bana

Genta bana.
 
Wachezaji wa yanga wote wapo kambini na wanafata taratibu na miiko ya klabu.

Lakini mchezaji wetu Benard Morrison ni msumbifu sana.

Ipo wapi Fair competition?

Watu wa FCC mpo wapi?.
 
Nimeshalifafanua hili ila najua Wapumbavu huwa hamkosekani duniani.

Endelea / Endeleeni tu Kuota na Kuhisi na hata kudhani kuwa Mightier Mimi ndiyo GENTAMYCINE.

Kichwa changu cha Habari sijasema niliye na Maono bali nimejumuisha wenye Maono na ungekuwa tu na Akili ambazo kwa bahati mbaya huna pamoja na Wapumbavu Wenzako wala usingesema kuwa Mimi ni GENTAMYCINE bali ungeelewa tu kuwa kwa Kauli hiyo nimewajumuisha wale Members wote ambao walishayasema hapa JamiiForums Mapungufu ya Mchezaji Bernard Morrison hata siyo Mimi Mightier niliyesema.

Inaonyesha huyo GENTAMYCINE amewakojoleeni wengi mno hapa kiasi kwamba mnampenda na mnafarijika sana Kumtajataja na Kumhisi kuwa ni Yeye katika kila ID hapa kwa Hoja yako ( yenu ) ya Kipumbavu kuwa ana Uandishi unaofanana.

Hivi tunapokuwa hapa JamiiForums tunatakiwa kila Mtu kutumia aina yake ya Uandishi na kama akiandika kama Member mwingine ndiyo justification kuwa ni Yeye huyo huyo na kwamba ana Mulitiple ID"s?

Washamba, Wapuuzi na Wanafiki wakubwa.

Cc: mtu chake, Frustration, Ochumeraa, ukikaidi utapigwa2, KAGAMEE
Kwani ulikubali utakufa?
 
Popoma hapa uliruhusu matumizi kidogo ya akili ndogo uliyokuwa nayo..kongole

Back
Top Bottom