Kuna mjapani alinifundisha dawa ya kuacha kukoroma baada ya kunisikia nakoroma nilipopitiwa na usingizi kwenye gari, ni hivi kila asubuh toa ulimi nje kama unapiga mihayo mara 20 au zaidi na jioni pia, hii inasaidia kutanua misuli iliyosinyaa na kusababisha kukoroma, mimi hilo zoezi kama lilinishinda kwa atakayefanikiwa atupe mrejesho.
Asanteni