Tawile....[emoji120]hata kama ni wakolomije
We jipendekeze tuje tusikie ukiokotwa ufukweni.Mkuu, unayo dawa ya nguvu za kiume?
Maana naishi Daslam
I'm a dead walking body......We jipendekeze tuje tusikie ukiokotwa ufukweni.
😀😀😀.
Natania mkuu sipo kukukwamisha sina roho ya jiwe na bashite Mimi.hahahaaa! acha kumtisha mwenzako
Okay boss.I'm a dead walking body......
Habari wakuu.
Ikiwa una matatizo yafuatayo naomba uni-pm
Na ushauri mwingine wa kitabibu hasa kuhusu miti shamba.
- Pumu
- Maumivu makali wakati wa hedhi
- Hufiki kileleni both me & ke
- Kifua kinakubana.
Ungesema una tiba ya wale wanaowahi kufika kileleni mapema PM yako leo ingejaa [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo mkuu unataka kuwapunguza kasi ili wawahi kufika kileleni mapema?
Huoni utapigwa mawe hadi ufe?
Watu wanataka kuchelewa kufika wewe unataka kuwawahisha kama jogoo?
Usipokuwa makini kibarua chako kitaota nyasi!
Basi elewa jamii ya watanzania hasa wanaume haitaki kuwahi kufika kileleni bali inataka kuchelewa kufika [emoji23] [emoji23]Sipo hapa kutafuta pesa ya kula Mkuu. Ishu hapa watu wapunguze matatizo niliyoyaainisha hapo juu
Yeahpumu
Basi elewa jamii ya watanzania hasa wanaume haitaki kuwahi kufika kileleni bali inataka kuchelewa kufika [emoji23] [emoji23]
Ooh, sorry brotherHahahaha! Nakuelewa Mkuu. Sema nilikuwa nakurekebisha uliposema nipo hapa kutafuta ulaji i mean kibarua kuota ukoka
zungumzia nafsi yako usiweke generalization, kama huna nguvu za kiume ni weweMkuu, sisi wanaume wa Daslam tumeathiriwa sana kwa kula chips na miguu/utumbo wa kuku.... tehteehhh