Wenye matatizo yafuatayo Wani-Pm

Wenye matatizo yafuatayo Wani-Pm

Mkuu Mshana Jr,
Ipo miti ambayo kwa majina si rahisi kuitaja ila namna ya kuiandaa mpaka iwe dawa hilo naweza kuelezea.

Kwa sasa natumia simu isiyo na kamera ila nikipata kamera au simu yenye kamera nitaweka kila kitu bayana. Ili hata kama jina linasumbua la mti lakini mtu autambue mti husika

sasa kama hata simu ya maana huna zama hizi..kweli kuna usalama hapo?
 
sasa kama hata simu ya maana huna zama hizi..kweli kuna usalama hapo?

Watu wenye matatizo hawahitaji simu yangu, wanachohitaji ni kupona simu haitawasaidia kitu.
 
JF ni jukwaa huru, kama unataka kusaidia mtu/watu ni vema ukaweka wazi kila kitu ili mwenye tatizo hilo aweze kujisomea mwenyewe!!
 
JF ni jukwaa huru, kama unataka kusaidia mtu/watu ni vema ukaweka wazi kila kitu ili mwenye tatizo hilo aweze kujisomea mwenyewe!!

Ni kweli. lakini suala la mchanganyo linahitaji umakini na uzoefu
 
Back
Top Bottom