Mkuu Mshana Jr,
Ipo miti ambayo kwa majina si rahisi kuitaja ila namna ya kuiandaa mpaka iwe dawa hilo naweza kuelezea.
Kwa sasa natumia simu isiyo na kamera ila nikipata kamera au simu yenye kamera nitaweka kila kitu bayana. Ili hata kama jina linasumbua la mti lakini mtu autambue mti husika
sasa kama hata simu ya maana huna zama hizi..kweli kuna usalama hapo?