Wenye matatizo yafuatayo Wani-Pm

Wenye matatizo yafuatayo Wani-Pm

Habari wakuu.

Ikiwa una matatizo yafuatayo naomba uni-pm
  1. Pumu
  2. Maumivu makali wakati wa hedhi
  3. Hufiki kileleni both me & ke
  4. Kifua kinakubana.
Na ushauri mwingine wa kitabibu hasa kuhusu miti shamba.

Ungesema una tiba ya wale wanaowahi kufika kileleni mapema PM yako leo ingejaa [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo mkuu unataka kuwapunguza kasi ili wawahi kufika kileleni mapema?
Huoni utapigwa mawe hadi ufe?

Watu wanataka kuchelewa kufika wewe unataka kuwawahisha kama jogoo?

Usipokuwa makini kibarua chako kitaota nyasi!
 
Sipo hapa kutafuta pesa ya kula Mkuu. Ishu hapa watu wapunguze matatizo niliyoyaainisha hapo juu
 
Basi elewa jamii ya watanzania hasa wanaume haitaki kuwahi kufika kileleni bali inataka kuchelewa kufika [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha! Nakuelewa Mkuu. Sema nilikuwa nakurekebisha uliposema nipo hapa kutafuta ulaji i mean kibarua kuota ukoka
 
Back
Top Bottom