Mkuu Mshana Jr,
Ipo miti ambayo kwa majina si rahisi kuitaja ila namna ya kuiandaa mpaka iwe dawa hilo naweza kuelezea.
Kwa sasa natumia simu isiyo na kamera ila nikipata kamera au simu yenye kamera nitaweka kila kitu bayana. Ili hata kama jina linasumbua la mti lakini mtu autambue mti husika
Sawa mkuu, kumbe nawewe niwa Daslam..... tehteehhhzungumzia nafsi yako usiweke generalization, kama huna nguvu za kiume ni wewe
nipe Dada nimfumue hadi aje akusimulieSawa mkuu, kumbe nawewe niwa Daslam..... tehteehhh
😳 😳 😳sasa kama hata simu ya maana huna zama hizi..kweli kuna usalama hapo?
Asante mkuuKaribuni sana
Vidonda vya tumbo VP?Habari wakuu.
Ikiwa una matatizo yafuatayo naomba uni-pm
Na ushauri mwingine wa kitabibu hasa kuhusu miti shamba.
- Pumu
- Maumivu makali wakati wa hedhi
- Hufiki kileleni both me & ke
- Kifua kinakubana.
basi napata mashaka na ubora wa bidhaa zakoHapana