Jamani wenye mitandao mmezidi kuturundikia SMSs za matangazo na promosheni zenu zisizokoma mpaka usiku wa manane.Yaani kwa siku unaweza kupokea SMSs kama 5+,kwa maana hiyo ukiwa na SIM card nyingi ndio unaongeza kero.Watumiaji tunahitaji kuwasiliana ili kufanikisha shughuli zetu za kila siku siyo bughudha za ku-persuade adverts ambazo zingine ni usaniii tu aka wizi.TUPUNGUZIENI KERO.
Yaani nimekereka mpaka uzalendo umenishinda kwa kweli.nini kutuma sms wana tabia ya kupiga simu, umekaa unasubiri dili la maana, simu inaita unairukia ukipokea unakuta tangazo la kaka na dada sijui wanatokeana au ndo wanachati kero tuuuupu
wanabore saaaana
unakuta umelala unasikia simu
unadhani jambo la maana
unakuta matangazo ya kipuuzi
aghhhhhh
Nimeipenda avarta yako inaujumbe mzito
Ni heri kama wangeacha matangazo yabaki kuonekana unapouliza salio & kwenye cell Info Display yapokezane na taarifa za minara maana ukiyachoka unaswitch off, huyaoni tena kuliko sasa. Na matangazo haya naamini hayamo katika Vigezo na Masharti (Terms and Conditions).
Jamani wenye mitandao mmezidi kuturundikia SMS za matangazo na promosheni zenu zisizokoma mpaka usiku wa manane.Yaani kwa siku unaweza kupokea SMSs kama 5+, kwa maana hiyo ukiwa na SIM card nyingi ndio unaongeza kero.
Watumiaji tunahitaji kuwasiliana ili kufanikisha shughuli zetu za kila siku siyo bughudha za ku-persuade adverts ambazo zingine ni usaniii tu aka wizi.
TUPUNGUZIENI KERO.

Tigo mimi nilishagombana nao sana mpaka wakanirudishia salio,baada ya kumuona boss wao pale Majani ya chai.Mimi naomba mnisaidie mbali na hayo matangazo lkn pia nimechoka kuibiwa hela yenyewe naitafuta kwa mbinde. Mfano leo mchana nilikuwa na sh 14056/ kufika jioni naangalia salio nakutana na sh 178/ na sijapiga simu wala kutuma sms au siku hiz ukipigiwa cm pia wanacharge? Nie Tigo mbona ni wezi sana. Naombeni msaada wa kisheria nikashtaki wapi warudishe hela zangu manake hii si mara ya kwanza