Wenye mwamko mkubwa wa kupiga kura ni CCM vyama vingine kulikoni?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,056
Wenye mwamko mkubwa wa kupiga kura ni CCM vyama vingine kulikoni?

Yaani ukiwauliza mtaenda kupiga kura unawakuta wanajibu sijui nitaangalilia huko huko mbele

CCM ukiwauliza ni haraka wanakwambia sitakosa kwenda kupiga kura
 
hajaanza kuwaumiza vichwa leo na bado
 
Wenye mwamko mkubwa wa kupiga kura ni CCM vyama vingine kulikoni?

Yaani ukiwauliza mtaenda kupiga kura unawakuta wanajibu sijui nitaangalilia huko huko mbele

CCM ukiwauliza ni haraka wanakwambia sitakosa kwenda kupiga kura
Tukusaidie nini
 
Back
Top Bottom