Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Msigwa alisema maneno hayo Julai 24 katika mkutano na waandishi wa habari ambapo yeye pamoja na Kamishna wa TANAPA walikuwa wakitoa ufafanuzi kuhusu Hifadhi za Taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba SC,anyway usiumize kichwa sana alikuwa anafanya kama utani kiasi kwenye speech hii
yaani Mpaka Saizi hauelewi maana ya Wananchj na Wenye Nchi. Aisee wewe utakuwa Sehemu ya Wananchi wa Ubeligiji ambao badala ya Kishauri Wanaitukana Nchi na Viongozi wake.Msigwa alisema maneno hayo Julai 24 katika mkutano na waandishi wa habari ambapo yeye pamoja na Kamishna wa TANAPA walikuwa wakitoa ufafanuzi kuhusu Hifadhi za Taifa.