Wenye nchi waliosemwa na Msigwa hapa ndio akina nani?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Msigwa alisema maneno hayo Julai 24 katika mkutano na waandishi wa habari ambapo yeye pamoja na Kamishna wa TANAPA walikuwa wakitoa ufafanuzi kuhusu Hifadhi za Taifa.

Your browser is not able to display this video.
 
Simba SC,anyway usiumize kichwa sana alikuwa anafanya kama utani kiasi kwenye speech hii
Msigwa alisema maneno hayo Julai 24 katika mkutano na waandishi wa habari ambapo yeye pamoja na Kamishna wa TANAPA walikuwa wakitoa ufafanuzi kuhusu Hifadhi za Taifa.

yaani Mpaka Saizi hauelewi maana ya Wananchj na Wenye Nchi. Aisee wewe utakuwa Sehemu ya Wananchi wa Ubeligiji ambao badala ya Kishauri Wanaitukana Nchi na Viongozi wake.
1. Wananchi- Ni Utopolo FC@Yang
2. Wenye Nchi- Simba SC- Nembo la Tanzania Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…