Marekani / ulaya / Australia / Canada yani kwa ufupi nchi za wazungu kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafanya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo mfano kazi za kwenye ma godown malipo elf 40 kwa saa, Tatizo la wenzetu wamekuwa walalamikaji sana hasa wamarekani weusi unaweza kumkuta yupo na hii kazi anajirekodi ndani ya gari kwamba maisha ni magumu, Serious !! hivi akiletwa bongo huyu atasemaje !!
Kwa wenye elimu wanapiga pesa nyingi mno, mfano kazi za IT wanalipwa milioni 20 kwa mwezi baada ya makato, manesi (ni kawaida kukuta wanaume) wanakunja milioni 10 kila mwezi baada ya makato, n.k.
Pesa zipo lakini shida inapokuja ni kwenye suala la wanawake wa huko.
Kuhusu mabinti wa kimarekani wana taratibu zao, mila zao na walivyokuzwa lazima mtapishana maana malezi yao ni tofauti na yetu, Wanawake wengi wamekuzwa kwenye mazingira ya kuwaamnisha wao ndio viongozi wa familia, Mwanaume hana kauli juu yao, huruhusiwi hata kumfinya ukijaribu tu polisi wapo mlangoni hupewi nafasi hata ya kujitetea unapewa kesi ya domestic violence, hali hii ni tofauti sana na malezi yetu ya bongo ambayo Baba ndo kichwa cha familia. Yani ni kwamba kuishi na wanawake wa huko inabidi ujishushe ama awe kakuelewa sana ndio unaweza kuishi nae kibongo.
Mbadala wa kuoa mbongo muende kuishi Marekani (Importation), Hawa wadada ukiwatoa kutoka Bongo wakishafika Marekani wakapazoea ni kama wanakuwa wamefunguliwa minyororo, wengi hubadilika na kuanza kuwapelekesha wanaume baada ya kuyazoea mazingira ya huko yanayowapa nguvu kubwa juu ya wanaume na jamii, serikali, tamaduni inawapa sapoti kubwa sana na hata dini haina nguvu kuingilia hayo mambo. ni tofauti kabisa na bongo ambayo tamaduni zetu, jamii, dini zinawalazimu wanawake kuwa chini ya wanaume.
Wanawake wa huko hujua Wanaume Toka Afrika ni wachapa kazi na watafuta pesa, wanawake hujirahisisha na hujitosa kwenye mahusiano na kuoana, akizaa watoto wawili au watatu anaangalia kipato chako ili akikubwaga apate pesa nyingi za child support na kupora Mali zako kama ulinunua nyumba au kujenga ulaya na marekani mgao unahusu kama ana watoto nyumba inaondoka unakuwa homeless au ukapange huko
Child Support - Si kama huku bongo kwamba utampa binti uja uzito kisha serikali inakuambia umpe laki 1 kila mwezi, kule ni uwanja tofauti kabisa, Ni kawaida kwa mtu mwenye kipato cha chini kuamuriwa kulipa milioni 2 kila mwezi "kwa mtoto moja", kina mama wengi hasa wamarekani weusi na waafrika wanaohamia wanatumia mbinu hii kupata pesa za kujikimu,
DIVORCE - ni tatizo kubwa sana kwa hizo nchi, Utafiti uliofanyika ni kwamba nusu ya ndoa zote wanandoa huachana, Kwa waafrika hali ni mbaya zaidi !! ndoa hazipo stable sababu mwanamke ana nguvu sana inafikia kipindi wanaume wanachoka, wanawake wanaotaka kuishi kwa child support, n.k.
Kwa wale wawinda makaratasi wa kutafuta uraia kupitia kuoa ulaya au marekani beware muwe makini !! Anavizia tu Kona nzuri akupige urudi mikono mitupu kama ulivyotoka Tanzania, Nenda Arusha utapata story kibao a watu waliorudi mikono mitupu ama kukimbia kabisa.
Kwa wale wadau waliozoea kulipa madada poa elf 10 waende kulala nao, hali ni tofauti Marekani, hizi huduma zipo lakini ni bei mbaya sana, Kwa usiku moja ni laki 3+, ni starehe yenye gharama ndio maana marapper hujisifu kuwa na magari ya bei, nyumba za kifahari na malaya, ni wana bei mbaya.