Hata wazaramo wapo wakimya, Tunachoangalia ni wastani sio mtu moja mojaNi kweli kilichozungumzwa kuhusu wanawake but sio wote wakifika huko watajanjaluka hata bongo Kuna wanaume wanapelekeshwa Ile mbaya
Kuna waziri aliwahi kosa viza. Wamarekani waone hivi hivi.Mmarekani tajiri anapokuja Tanzania ni passport yake na visa tu Tena aweza pata airport shida mwafrika kwenda marekani sababu anaonekana ni maskini anataka kwenda marekani hata awe mtoto wa Balkhresa Sisi tunaona Balhresa tajiri lakini wamarekani Kwa utajiri walionao wanaona lofa tu kupata visa ya marekani lazima vigezo kibao Hadi bank statement
It may be true, lakini sijawahi kumuamin mbongo, 100%!Marekani / ulaya / Australia / Canada yani kwa ufupi nchi za wazungu kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafanya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo mfano kazi za kwenye ma godown malipo elf 40 kwa saa, Tatizo la wenzetu wamekuwa walalamikaji sana hasa wamarekani weusi unaweza kumkuta yupo na hii kazi anajirekodi ndani ya gari kwamba maisha ni magumu, Serious !! hivi akiletwa bongo huyu atasemaje !!
Kwa wenye elimu wanapiga pesa nyingi mno, mfano kazi za IT wanalipwa milioni 20 kwa mwezi baada ya makato, manesi (ni kawaida kukuta wanaume) wanakunja milioni 10 kila mwezi baada ya makato, n.k.
Pesa zipo lakini shida inapokuja ni kwenye suala la wanawake wa huko.
Kuhusu mabinti wa kimarekani wana taratibu zao, mila zao na walivyokuzwa lazima mtapishana maana malezi yao ni tofauti na yetu, Wanawake wengi wamekuzwa kwenye mazingira ya kuwaamnisha wao ndio viongozi wa familia, Mwanaume hana kauli juu yao, huruhusiwi hata kumfinya ukijaribu tu polisi wapo mlangoni hupewi nafasi hata ya kujitetea unapewa kesi ya domestic violence, hali hii ni tofauti sana na malezi yetu ya bongo ambayo Baba ndo kichwa cha familia. Yani ni kwamba kuishi na wanawake wa huko inabidi ujishushe ama awe kakuelewa sana ndio unaweza kuishi nae kibongo.
Mbadala wa kuoa mbongo muende kuishi Marekani (Importation), Hawa wadada ukiwatoa kutoka Bongo wakishafika Marekani wakapazoea ni kama wanakuwa wamefunguliwa minyororo, wengi hubadilika na kuanza kuwapelekesha wanaume baada ya kuyazoea mazingira ya huko yanayowapa nguvu kubwa juu ya wanaume na jamii, serikali, tamaduni inawapa sapoti kubwa sana na hata dini haina nguvu kuingilia hayo mambo. ni tofauti kabisa na bongo ambayo tamaduni zetu, jamii, dini zinawalazimu wanawake kuwa chini ya wanaume.
Wanawake wa huko hujua Wanaume Toka Afrika ni wachapa kazi na watafuta pesa, wanawake hujirahisisha na hujitosa kwenye mahusiano na kuoana, akizaa watoto wawili au watatu anaangalia kipato chako ili akikubwaga apate pesa nyingi za child support na kupora Mali zako kama ulinunua nyumba au kujenga ulaya na marekani mgao unahusu kama ana watoto nyumba inaondoka unakuwa homeless au ukapange huko
Child Support - Si kama huku bongo kwamba utampa binti uja uzito kisha serikali inakuambia umpe laki 1 kila mwezi, kule ni uwanja tofauti kabisa, Ni kawaida kwa mtu mwenye kipato cha chini kuamuriwa kulipa milioni 2 kila mwezi "kwa mtoto moja", kina mama wengi hasa wamarekani weusi na waafrika wanaohamia wanatumia mbinu hii kupata pesa za kujikimu,
DIVORCE - ni tatizo kubwa sana kwa hizo nchi, Utafiti uliofanyika ni kwamba nusu ya ndoa zote wanandoa huachana, Kwa waafrika hali ni mbaya zaidi !! ndoa hazipo stable sababu mwanamke ana nguvu sana inafikia kipindi wanaume wanachoka, wanawake wanaotaka kuishi kwa child support, n.k.
Kwa wale wawinda makaratasi wa kutafuta uraia kupitia kuoa ulaya au marekani beware muwe makini !! Anavizia tu Kona nzuri akupige urudi mikono mitupu kama ulivyotoka Tanzania, Nenda Arusha utapata story kibao a watu waliorudi mikono mitupu ama kukimbia kabisa.
Kwa wale wadau waliozoea kulipa madada poa elf 10 waende kulala nao, hali ni tofauti Marekani, hizi huduma zipo lakini ni bei mbaya sana, Kwa usiku moja ni laki 3+, ni starehe yenye gharama ndio maana marapper hujisifu kuwa na magari ya bei, nyumba za kifahari na malaya, ni wana bei mbaya.
Hapo UN huwezi kupatumia kama kioo cha maisha ya ndoa / uchumba kwenye nchi zao, wanawake wa hapo UN wapo vizuri hawana vitamaa tamaa vya pesa au mali na hata familia wanazotoka unakuta zipo vizuri, hata ikitokea mgawnyo wa mali ndoa ikivunjika au child support kibao kinaweza kuwageukia wao mwanaume akafaidika zaidi (wanawke wenye uwezo nao sheria zinawabonda), hivyo wanakuwa na adabu !!It may be true, lakini sijawahi kumuamin mbongo, 100%!
Hatakuambia ukweli wote,uzuri na ubaya, hata bongo ndoa zinavunjika,
Nipo UN hapa, wafanyakazi wa US wana familia zao wanaishi vzr tu, black kwa white, wapo watz wameoa wazungu hapa, wameoa black Americans, wamechukua uraia, wanapiga pesa ndefu, CPA, engineer, dokta m bongo, yupo UN bongo, kapata mke ofcn,wanaishi vzr na mikwanja mirefu tu,
Hamna uwanja wa fisi huko?Marekani / ulaya / Australia / Canada yani kwa ufupi nchi za wazungu kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafanya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo mfano kazi za kwenye ma godown malipo elf 40 kwa saa, Tatizo la wenzetu wamekuwa walalamikaji sana hasa wamarekani weusi unaweza kumkuta yupo na hii kazi anajirekodi ndani ya gari kwamba maisha ni magumu, Serious !! hivi akiletwa bongo huyu atasemaje !!
Kwa wenye elimu wanapiga pesa nyingi mno, mfano kazi za IT wanalipwa milioni 20 kwa mwezi baada ya makato, manesi (ni kawaida kukuta wanaume) wanakunja milioni 10 kila mwezi baada ya makato, n.k.
Pesa zipo lakini shida inapokuja ni kwenye suala la wanawake wa huko.
Kuhusu mabinti wa kimarekani wana taratibu zao, mila zao na walivyokuzwa lazima mtapishana maana malezi yao ni tofauti na yetu, Wanawake wengi wamekuzwa kwenye mazingira ya kuwaamnisha wao ndio viongozi wa familia, Mwanaume hana kauli juu yao, huruhusiwi hata kumfinya ukijaribu tu polisi wapo mlangoni hupewi nafasi hata ya kujitetea unapewa kesi ya domestic violence, hali hii ni tofauti sana na malezi yetu ya bongo ambayo Baba ndo kichwa cha familia. Yani ni kwamba kuishi na wanawake wa huko inabidi ujishushe ama awe kakuelewa sana ndio unaweza kuishi nae kibongo.
Mbadala wa kuoa mbongo muende kuishi Marekani (Importation), Hawa wadada ukiwatoa kutoka Bongo wakishafika Marekani wakapazoea ni kama wanakuwa wamefunguliwa minyororo, wengi hubadilika na kuanza kuwapelekesha wanaume baada ya kuyazoea mazingira ya huko yanayowapa nguvu kubwa juu ya wanaume na jamii, serikali, tamaduni inawapa sapoti kubwa sana na hata dini haina nguvu kuingilia hayo mambo. ni tofauti kabisa na bongo ambayo tamaduni zetu, jamii, dini zinawalazimu wanawake kuwa chini ya wanaume.
Wanawake wa huko hujua Wanaume Toka Afrika ni wachapa kazi na watafuta pesa, wanawake hujirahisisha na hujitosa kwenye mahusiano na kuoana, akizaa watoto wawili au watatu anaangalia kipato chako ili akikubwaga apate pesa nyingi za child support na kupora Mali zako kama ulinunua nyumba au kujenga ulaya na marekani mgao unahusu kama ana watoto nyumba inaondoka unakuwa homeless au ukapange huko
Child Support - Si kama huku bongo kwamba utampa binti uja uzito kisha serikali inakuambia umpe laki 1 kila mwezi, kule ni uwanja tofauti kabisa, Ni kawaida kwa mtu mwenye kipato cha chini kuamuriwa kulipa milioni 2 kila mwezi "kwa mtoto moja", kina mama wengi hasa wamarekani weusi na waafrika wanaohamia wanatumia mbinu hii kupata pesa za kujikimu,
DIVORCE - ni tatizo kubwa sana kwa hizo nchi, Utafiti uliofanyika ni kwamba nusu ya ndoa zote wanandoa huachana, Kwa waafrika hali ni mbaya zaidi !! ndoa hazipo stable sababu mwanamke ana nguvu sana inafikia kipindi wanaume wanachoka, wanawake wanaotaka kuishi kwa child support, n.k.
Kwa wale wawinda makaratasi wa kutafuta uraia kupitia kuoa ulaya au marekani beware muwe makini !! Anavizia tu Kona nzuri akupige urudi mikono mitupu kama ulivyotoka Tanzania, Nenda Arusha utapata story kibao a watu waliorudi mikono mitupu ama kukimbia kabisa.
Kwa wale wadau waliozoea kulipa madada poa elf 10 waende kulala nao, hali ni tofauti Marekani, hizi huduma zipo lakini ni bei mbaya sana, Kwa usiku moja ni laki 3+, ni starehe yenye gharama ndio maana marapper hujisifu kuwa na magari ya bei, nyumba za kifahari na malaya, ni wana bei mbaya.
Kwahiyo ata MO dewji akitaka kwenda Marekani Arafat utaratibu sawa na muuza vitumbua wa Manzese?Mmarekani tajiri anapokuja Tanzania ni passport yake na visa tu Tena aweza pata airport shida mwafrika kwenda marekani sababu anaonekana ni maskini anataka kwenda marekani hata awe mtoto wa Balkhresa Sisi tunaona Balhresa tajiri lakini wamarekani Kwa utajiri walionao wanaona lofa tu kupata visa ya marekani lazima vigezo kibao Hadi bank statement
Huyo Wazir atakua mvaa makobaziKuna waziri aliwahi kosa viza. Wamarekani waone hivi hivi.
Kwann mwaka huoMnaotaka kwenda Marekani tafuteni nauli 2026 msepe
Mkuu kwenye kuoa hapo unahitaji vigezo Gani?Tafuta kwanza vitu hivi
- Vyeti vya kuonyesha unaweza kuongea kiingereza, (utaishi vipi sehemu bila kuijua lugha ?)
- Hakikisha una bank statement
- Hakikisha una ushahidi kwamba huku bongo una ties (cheti Cha ndoa, vyeti vya watoto, mikataba ya biashara, n.k)
- Hakikisha una passport
Baada ya hapo unaweza kutumia njia hizi
1. Elimu kama unajidhamini au una mdhamini
2. Green card lottery / bahati nasibu ya visa mtandaoni
3. Hii ni njia rahisi haihitaji vielezo vingi, Kwa ambao hawajaoa au kuolewa ingia dating sites tafuta mahusiano na mtu wa taifa husika unataka kwenda anzeni mahusiano, mwombe huyo mpenzi wako aje akutembelee, akifika hapa mnaridhiana mrudi wote nchini kwao mkaoane utapewa visa ya ndoa au aje mara mbili Tanzania akutembelee baada ya hapo unaweza omba visa ya uchumba kwenda marekani. hakikisha akija mnapiga picha nyingi za ushahidi pia hakikisha anatunza ticket.