SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Wenye kitambulisho cha NIDA tuna furaha zaidi hivyo basi tukutane kwenye uapisho Uwanja wa Mkapa
Tanganyika Packers tarehe 29-08 kwanzaWenye kitambulisho cha NIDA tuna furaha zaidi hivyo basi tukutane kwenye uapisho Uwanja wa Mkapa
Pole DadaUkienda wewe yatosha
Karibu sana
AssnteUkienda wewe yatosha
mbona hamkuleta mrejesho
Nilikuwa natafuta aliyeufufua huu Uzi. Waliongea mambo mengi sana ambayo yote hayakufanikiwa!Assnte
Halafu ni multiple ID za mtu mmoja zinajijibu ila CCM imejaa vilaza sana..Nilikuwa natafuta aliyeufufua huu Uzi. Waliongea mambo mengi sana ambayo yote hayakufanikiwa!