Ni kweli usemacho, lakini pale kwenye Mkataba atasema kazi yake Moja halalikwani mkuu mtu anaweza kuwa na kazi moja ya kumuingizia kipato mtu anaweza kuwa na biashara tatu lakini akakutajia moja tu..unajua kuna biashara hazionekani kwenye macho ya wengi lakini zinalipa pesa ndefu
Story za...mkuuuuuu
Kaulize wanasheria kama unaweza chukua nyumba ya mtu kirahisi via mpangaji
Si wahusika wote wangechexa dili na maghorofa mnapangisha wanawaita mkawakamate
Hii sheria imepitishwa na watanzania wenye akili timamu kabisa wenye bachekor degree kabisa ya miaka mitatu/minne?Wakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao.
Alieleza kuwa baadhi ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya wamekuwa wakitumia nyumba walizopanga kama maghala ya kuhifadhi dawa hizo, huku wao wakiishi sehemu nyingine.
Soma pia: Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Novemba 25, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Jenerali Lyimo alisisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria, mali yoyote, kama nyumba au gari, ikikutwa na dawa za kulevya, itataifishwa.
Kamishna huyo amewataka wamiliki wa mali hizo kuhakikisha wanachukua tahadhari na kusimamia vyema mali zao ili kuepuka hasara na kuhusishwa na vitendo haramu.
Source: Wasafi FM
My take:
Mbona kama kuna watu specific wanatafutwa kwa tochi kupitia agizo hili?
1. Mimi kama mwenye nyumba ntajuaje kama mtu anaweka madawa ya kulevya ndani ya nyumba? Niweke CCTV au niwe nafanya doria za kushtukiza?
2. Hiyo nyumba ikishataifishwa inapelekwa kwa nani au taasisi gani?
3. Kama inaenda kwa serikali hamuoni kwamba kuna baadhi ya vigogo serikalini wanaweza wakatumia mwanya huo kupora nyumba za watu iwapo watazipenda?
4. Huo utaratibu wenu wa kutaifisha nyumba ni watanzania pekee au ni utratibu wa kimataifa? Ni mataifa gani yana utaratibu kama huo?
5. Hiyo sheria ya kutaifisha nyumba ambayo sio ya mtuhumiwa ipo kwenye ibara gani kwenye Katiba yru ya inchi?
Umeweka kipengele mpangaji ameona na amesainiHapo deal ni kuweka hicho kipengele kwenye Mkataba wakati wa kumpangisha mtu.
Mimi niliwahi kuweka kipengele cha kumtaka Mpangaji kueleza kazi ama shughuli aifanyayo kuendesha maisha yake
Hii ilisaidia kutowapangisha watu Wasumbufu kulipa Kodi
Hopefully na hicho kipengele kikiwepo kwenye Mkataba wa kupangisha, kitasaidia kumlinda mwenye nyumba
Ni hapo nitawaonesha kwanini nilitumuliwa kwenye vyombo vya usalama ,ni kipigo tuNyumba ujenge kwa nguvu zako mpangaji ndo afanye itaifishwe.
Nchi ngumu sana hii
Ikianza hii sheria mkuu basi zile gorofa za masaki tutataifisha nyingi sana kwa style hiiSerikali ikiamua kukutaifishia inawezekana tu mkuu.
We live in Tanzania
daah! lakini mkuu sheria zako binafsi na wapangaji wako haziwezi kuwa juu ya sheria za kitaifa za wenye mamlaka walioshika mpini si unajua mfumo wa hii nchi unavyotenda kazi zake itabidi uwe mpole tu..Nyumba zangu za kupangisha Kuna kupengele Mali ya mpangaji ni yake haisiani na mwenye nyumba hata ulinzi WA Mali zake ni juu ya mpangaji mwenyewe,Sheria ya Lyimo inakinzana na masharti ya wapangaji wangu
Hicho kipengele kitamlinda mwenye nyumba, kwamaana hatowajibishwa Kwa makosa yasiyo yakeUmeweka kipengele mpangaji ameona na amesaini
Then anakutwa na Unga
Kipengele kitasaidia nini?
Mimi nadhani hii kitu kuna mtu anatafutwa na asipokuwa makini ataingia kwenye mfumo
Mkuu hapa Sina budi kuwa mpole tudaah! lakini mkuu sheria zako binafsi na wapangaji wako haziwezi kuwa juu ya sheria za kitaifa za wenye mamlaka walioshika mpini si unajua mfumo wa hii nchi unavyotenda kazi zake itabidi uwe mpole tu..
Hata kama ya msikiti au kanisa?Wakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao.
Alieleza kuwa baadhi ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya wamekuwa wakitumia nyumba walizopanga kama maghala ya kuhifadhi dawa hizo, huku wao wakiishi sehemu nyingine.
Soma pia: Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Novemba 25, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Jenerali Lyimo alisisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria, mali yoyote, kama nyumba au gari, ikikutwa na dawa za kulevya, itataifishwa.
Kamishna huyo amewataka wamiliki wa mali hizo kuhakikisha wanachukua tahadhari na kusimamia vyema mali zao ili kuepuka hasara na kuhusishwa na vitendo haramu.
Source: Wasafi FM
My take:
Mbona kama kuna watu specific wanatafutwa kwa tochi kupitia agizo hili?
1. Mimi kama mwenye nyumba ntajuaje kama mtu anaweka madawa ya kulevya ndani ya nyumba? Niweke CCTV au niwe nafanya doria za kushtukiza?
2. Hiyo nyumba ikishataifishwa inapelekwa kwa nani au taasisi gani?
3. Kama inaenda kwa serikali hamuoni kwamba kuna baadhi ya vigogo serikalini wanaweza wakatumia mwanya huo kupora nyumba za watu iwapo watazipenda?
4. Huo utaratibu wenu wa kutaifisha nyumba ni watanzania pekee au ni utratibu wa kimataifa? Ni mataifa gani yana utaratibu kama huo?
5. Hiyo sheria ya kutaifisha nyumba ambayo sio ya mtuhumiwa ipo kwenye ibara gani kwenye Katiba yru ya inchi?
Na mabasi ya abiria,treni na ndege zitaifishwe pia zitakazo beba abria wenye madawa ya kulevya,
Sheria yoyote ambayo ipo kinyume na katiba ni batili, kwahiyo huyo mangi ni wa kupuuzwa tu amevimbiwa mbege.Hii serikali ya ajabu sana,wanaotunga sheria huwa sijui wanatumia kiungo gani kufikiri.
kwa sheria ipi ya kwako na mpangaji au sheria ya kitaifa ya wenye mamlaka walioshika mpini alafu utegemee kushinda kwanza utaweza kushindana nao.?Hicho kipengele kitamlinda mwenye nyumba, kwamaana hatowajibishwa Kwa makosa yasiyo yake