Msumari Wa Shaba
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 344
- 464
Hii italeta shida sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauza unga wakubwa Ni CCM.
We jamaa ujaanza tu kujifunza kusoma na kuandika?!Tena waoiga dili n hao haoo wakamataji. Narudia wenye B2 HAKUNA MAMBO KAMA HAYA
KUOATA VITUKO KAMA HIVI ANDIKA
NJAAINAUMA
KWENDA NO 15777
Uuoomdaaa unaupatawapiiiWe jamaa ujaanza tu kujifunza kusoma na kuandika?!
Ghorofa la Mbowe lazima liende na maji kabla ya Nov 2025.Kuna mtu anatafutwa hapa.
CCM wana mbinu sana
Na mabasi ya abiria,treni na ndege zitaifishwe pia zitakazo beba abria wenye madawa ya kulevya,Wakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao.
Alieleza kuwa baadhi ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya wamekuwa wakitumia nyumba walizopanga kama maghala ya kuhifadhi dawa hizo, huku wao wakiishi sehemu nyingine.
Soma pia: Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Novemba 25, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Jenerali Lyimo alisisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria, mali yoyote, kama nyumba au gari, ikikutwa na dawa za kulevya, itataifishwa.
Kamishna huyo amewataka wamiliki wa mali hizo kuhakikisha wanachukua tahadhari na kusimamia vyema mali zao ili kuepuka hasara na kuhusishwa na vitendo haramu.
Source: Wasafi FM
My take:
Mbona kama kuna watu specific wanatafutwa kwa tochi kupitia agizo hili?
1. Mimi kama mwenye nyumba ntajuaje kama mtu anaweka madawa ya kulevya ndani ya nyumba? Niweke CCTV au niwe nafanya doria za kushtukiza?
2. Hiyo nyumba ikishataifishwa inapelekwa kwa nani au taasisi gani?
3. Kama inaenda kwa serikali hamuoni kwamba kuna baadhi ya vigogo serikalini wanaweza wakatumia mwanya huo kupora nyumba za watu iwapo watazipenda?
4. Huo utaratibu wenu wa kutaifisha nyumba ni watanzania pekee au ni utratibu wa kimataifa? Ni mataifa gani yana utaratibu kama huo?
5. Hiyo sheria ya kutaifisha nyumba ambayo sio ya mtuhumiwa ipo kwenye ibara gani kwenye Katiba yru ya inchi?
kwani mkuu mtu anaweza kuwa na kazi moja ya kumuingizia kipato mtu anaweza kuwa na biashara tatu lakini akakutajia moja tu..unajua kuna biashara hazionekani kwenye macho ya wengi lakini zinalipa pesa ndefuHapo deal ni kuweka hicho kipengele kwenye Mkataba wakati wa kumpangisha mtu.
Mimi niliwahi kuweka kipengele cha kumtaka Mpangaji kueleza kazi ama shughuli aifanyayo kuendesha maisha yake
Hii ilisaidia kutowapangisha watu Wasumbufu kulipa Kodi
Hopefully na hicho kipengele kikiwepo kwenye Mkataba wa kupangisha, kitasaidia kumlinda mwenye nyumba
Ni mambo ya ajabu sana haya, kweli hilo ndio suluhisho la kupambana na dawa za kulevya?Wakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao.
Alieleza kuwa baadhi ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya wamekuwa wakitumia nyumba walizopanga kama maghala ya kuhifadhi dawa hizo, huku wao wakiishi sehemu nyingine.
Soma pia: Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Novemba 25, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Jenerali Lyimo alisisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria, mali yoyote, kama nyumba au gari, ikikutwa na dawa za kulevya, itataifishwa.
Kamishna huyo amewataka wamiliki wa mali hizo kuhakikisha wanachukua tahadhari na kusimamia vyema mali zao ili kuepuka hasara na kuhusishwa na vitendo haramu.
Source: Wasafi FM
My take:
Mbona kama kuna watu specific wanatafutwa kwa tochi kupitia agizo hili?
1. Mimi kama mwenye nyumba ntajuaje kama mtu anaweka madawa ya kulevya ndani ya nyumba? Niweke CCTV au niwe nafanya doria za kushtukiza?
2. Hiyo nyumba ikishataifishwa inapelekwa kwa nani au taasisi gani?
3. Kama inaenda kwa serikali hamuoni kwamba kuna baadhi ya vigogo serikalini wanaweza wakatumia mwanya huo kupora nyumba za watu iwapo watazipenda?
4. Huo utaratibu wenu wa kutaifisha nyumba ni watanzania pekee au ni utratibu wa kimataifa? Ni mataifa gani yana utaratibu kama huo?
5. Hiyo sheria ya kutaifisha nyumba ambayo sio ya mtuhumiwa ipo kwenye ibara gani kwenye Katiba yru ya inchi?
SHERIA ya hovyo kabisa hii... Likikamatwa gari la Serikali inakuwaje!?? Kama zilivyokamatwa ambulances na macruiser ya serikali!? Zikikamatwa kwenye quarters za Serikali!?? Ama kwenye maghorofa ya shirikabla nyumbal la Taifa !??
Mpangaji akipangishwa nyumba mwenye nyumba ana uhuru gani wa kukagua nyumba kila siku!!? Huyu Lyimo atakuwa ni mchaga mjinga wa kwanza.