Kama kamtoa mbali si katumia mafuta,na mafuta si ndo hayo sababu ya vitaKuna jamaa jana kaniuzia paka nikamwambia apunguze bei anasema paka bei juu kisa vita ya Ukraine na Russia!
Kuna changamoto kwa sasa tunapitia watu kupandisha bei ya vitu kwa taarifa kuwa mafuta yamepanda bei sababu ikiwa vita vya Ukraine sawa tunakubali ila kuna kama wengine wanafata mkumbo tu maana Jana mwenye nyumba wetu katuambia kodi mwezi ujao itapanda sababu ikiwa gharama za maisha kupanda sasa nyumba ushajenga kuna gharama gani zingine zimepanda naona hii hali ya Ukraine kuna watu wanaotumia kama nafasi kutudhukumu wanyonge
Nimewafuta kwake wamezalia apo apo kwakeKama kamtoa mbali si katumia mafuta,na mafuta si ndo hayo sababu ya vita
Kumbeba paka kwenye Daladala Angerukia watu akawajeruhi.Kuna jamaa jana kaniuzia paka nikamwambia apunguze bei anasema paka bei juu kisa vita ya Ukraine na Russia!
Kwa hali hii basi Mama anaupigwa mwingi kweli kweli. 😬😬😬😬Mbona mama aliweka wazi kwamba "vitu vitapanda bei"
Samahani mkuu, wewe ni shabiki wa simba? Maana hivi karibuni wana mechi za Kimataifa. Sasa ulivyosema umetoka kuuziwa paka, nimepatwa na mshtuko wa ghafla.Kuna jamaa jana kaniuzia paka nikamwambia apunguze bei anasema paka bei juu kisa vita ya Ukraine na Russia!
Hapana ni paka wa maziwaSamahani mkuu, wewe ni shabiki wa simba? Maana hivi karibuni wana mechi za Kimataifa. Sasa ulivyosema umetoka kuuziwa paka, nimepatwa na mshtuko wa ghafla.