Wenye Pesa Mnaitwa: Mnada wa Number Plate Special za Magari kufanyika tar 5 April

Ikitokea plate number ya mzabzab nitaarifu nikaichukue niweke kwenye boxer yangu
Hii sio special, unaweza hata kesho ukaamka kama mimi chance ndoto, tukaenda chukua kwa m5. Kuifanya iwe special labda uwe kitu maarufu au uwe raisi , ambaye hata samia au magufuli hayo unaweza andika. Sijui ifanyaje
Ila special ziko hizo 17 tu.
And umuhimu wa hizo. Ulichukua wallahi, within a month unarudisha hela yako.
 
Utarudishaje hela yako within a month kwa kuwa na namba special?
 
Najua siyo kada yako and you aren't interested in such thing ila nikueleze. Yale majina haswa uchukuliwa na watu wa makampuni, watu muhimu na taasisi zinazotaka kujitofautisha. Yaani huo mnada si wa kila mtu, mfano wewe huelewe chchte kinachoendelea hivo hazikuhusu.
Ni uwekezaji kwa maana ukiichukua itakusaidia kutambulika kirahisi, yaani wote wataopata hizo namba wana proviledge kubwaaaa saaaana. Saaaana. Mtafute tu aliyeandika jina lake , achana na hizi utajua faida yake. Within a month ww kufunga 30 to 40m ni mchezo kama wakupuliza kuni moto uwake.
 
1741755110522.jpeg
 
Umetupitisha chocho kama tunafka iv kumbe bdo. Kiufup bado hatujaelewa mkuu.
Hebu tufafanulie kwa faida ya wana jamvi
 
Back
Top Bottom